Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Kwa wale wanaohusika na kamati za uenezi katika Vyama Vilivyoijenga UKAWA inabidi muchukue hatua za lazima kuhakikisha ,clip za mikutano yenu zinakuwepo katika WEBSITE zenu ,si lazima mkutano mzima kama itakuwa shida ku'upload'
Hii itasaidia kuona kinachoendelea kwa kina kila sehemu na pia kuwezesha kuwa na mtandano ambao walioko Pemba watajua kinachoendelea kwa wenzao,walioko Mwanza ,Mbeya na kila sehemu ,itakuwa kama mmeanzisha coordination ,ambazo zimekuwa linked katika mitandao na pia kuwepo na update ,sio unapozifungua hizo web zenu inakuwa kama zimezimia au zipo ICU. Zinatakiwa ziwe updated kila siku kama itawezekana ,ionekane hata nyie wenyewe mnazipitia.
Sasa hivi WaTZ wamekuwa ni watumiaji wa mitandao ,hivyo kuna watu au wafuasi wanataka kujua ,mkutano wa Zanzibar Chama fulani walizungumza nini ,mkutano wa sehemu fulani ulisema nini,ili kupatikane uelewa nchi nzima.
Mikutano ya UKAWA ni mingi ukilinganisha na ya Chama Cha Mabepari ,hivyo itakuwa mnaeleweka kila siku na habari zunakuwa zinasambaa pande zote.msikae na kuzidumaza hizi website zenu.
Natumai nitakuwa nimeeleweka vizuri sana.
.