Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,417
*Tambua SHERIA hizi juu ya MTOTO na MALEZI kwa wazazi WALIOACHANA/TENGANA...*
1. Sheria haimlazimishi baba kutoa malezi ya mtoto ikiwa baba hana kipato cha uhakika na mama anacho.
2. Ikitokea baba ametoroka malezi ya mtoto na mama akaolewa na mwanaume mwengine.
Ikitokea baba mtoto amerudi kudai mwanae, basi yule baba mlezi ana haki kisheria kwenda mahakamani kudai FIDIA kwa malezi yotee aliyogharamia.
Na baba mtoto atalipa yotee.
3. Baba mtoto anahaki kisheria kudai asilimia 100% ya malezi ya mtoto (kukaa na mtoto) ikiwa mama ataonekana ana mienendo isiyofaa kijamii (Mf; Ulevi, Umalaya, ......)
4. Wakati wa kukaa mbali kwa wanandoa (separation time during divorce process) baba hana ulazima wa kutoa gharama za malezi ya familia ikiwa hana kipato cha uhakika.
Na kama mama ana kipato cha uhakika basi anawajibu wa kumlea baba na mtoto mpaka mahakama itakapo toa hukumu ya talaka.
5. Ikiwa mama ameolewa/anaishi na mwanaume mwengine, na baba akahisi anatoa malezi ya kumlea mpaka mwanaume mwenzie, baba mzazi wa mtoto ana haki kisheria kwenda mahakamani kudai mahakama iangalie upya gharama za malezi (na yawe ya mtoto tu).
6.
7.
ONGEZA YAKO MWANA JUKWAA...
Love you all SINGLE MAMAs..
Mna mapenzi ya KWELI Sema ndio hivyo "LIFE IS FULL OF SHITS"
Mungu awabariki wote na KUTENDA yale MIOYO YENU inatamani.
#YNWA.