Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,413
- 5,318
Wanajamvi hamjambo
Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae ckujua jamaa alikua namahusiano gani na yule mzee
Yule fundi alikua anamwambia yule mzee masuala ya huko alikopelaka posa, eti ooh mzee kule ninakotaka kuoa yule binti kanitajia laki2 nimejaribu kumbembeleza lakini katia msimamo, hataki kunipunguzia
Nikajua huyu ni muislamu tuu na sivingine,
ndgu zangu waislamu hebu jaribuni kuwathamini hawa viumbe hata kama mmekuta washazibuliwa
Ikiwa hela ya posa inakushinda jee hiyo ndoa mtaiendeshaje acheni kufuata mkumbo kama hujajipanga si lazima uowe
Yaani mnachofikiria nyinyi ni ngono tuuu na sivingine
Nije upande wa mabinti, ukishaona janaume linalialia hivyo liblock achana nalo, linakuoa kwaajili yangono hilo na cvinge tena linataka uwe mtumwa wake
Narudia tena usiolewe na hilo chovyachovya
Siluhusu mapovu
Sent using Jamii Forums mobile app