Kwenu, Marytina, Firstlady, Dena, Gaga,LD na .............

Karibu Kituku, nakupenda sana, ruksa kabisa kunifahamu!!!
Tutaongea huko!!!
 
janja ya nyani hiyo,,,,, hiki kinaonekana kidume kinataka kula kwa ubua...
 
Usijali mpnz kwngu wakaribishwa kabisa,tena saaana.nakupenda pia na naungana na LD kukukaribisha
 
Aisee urafiki we2 sio wadada utakutosha sana,hawa wakaka usiwatafute kabisa,maana...!
Asante sana Firstlady, nitafuata ushauri wako, wanasema siyesikia la mguu .... Umenitangulia Jf, lazima nipate ushauri
 
Asante sn michelle kweli unanijari,oops kumbe sio theard yangu nimechangnya chumba.ngoja niangalie vzr then ndo niingie

we nakupenda zaidi sema waga hujui kusoma alama na katikati ya mistari....l.o.l:hand:
 
Eksitensheni kebo l.o.l......halafu wewe si ni mbabu

Kaka, ukimtafuta LD anaweza kukuambia vizuri kama mimi ni m-babu au nikoje? Pia nilibahatika kuonana na Aspirin, na TEAMO
So far in this forum I have physically seen 3 pipo only
Tea-Mo aka Cofee-Mo anakupa hai
 
Kaka, ukimtafuta LD anaweza kukuambia vizuri kama mimi ni m-babu au nikoje? Pia nilibahatika kuonana na Aspirin, na TEAMO
So far in this forum I have physically seen 3 pipo only
Tea-Mo aka Cofee-Mo anakupa hai

Tatizo lako we unasemaga kila kitu!! Hujui kama utanikosesha wachumba lol!!
Halafu umemficha tena PM wewe!! Sikui uko jeeeeee??
 
Back
Top Bottom