Kwenu, Marytina, Firstlady, Dena, Gaga,LD na .............

Dah....msisome hapo kwenye sis....

Unaharibu taimingi zangu......

Not typo....not typo....hebu ni-pm

Usijali, I will, na lots of my excuses... nafahamu kukosea jina au jinsia ya mtu ni kosa kubwa..Sorry St RR mkuu
 
Kituku,raha ya macho kuona lakini wakati mwingine usilolijua usiku wa giza na kuna wakati giza ni heri kwa mwanga!
 
Usijali, I will, na lots of my excuses... nafahamu kukosea jina au jinsia ya mtu ni kosa kubwa..Sorry St RR mkuu

Sorry kituku....me don believe in sorries....easy easy.... after all keyboard haina jinsia.....maisha yanaenda..
 
Back
Top Bottom