Kwenu mafundi ujenz, rangi

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,038
Reaction score
2,190

Jmn rangi kama hiyo ukutani Ili ipendeze urembo wa madilisha nichanfanyia rangi gani?
 
Jamani hii white skim wall putty inazuia unyevu nyevu na chumvi kwenye kuta?

Vipi kama ulishapiga skiming ya kawaida, unaweza ipaka kwa juu?
 
Hakuna kitu ( materials hizi za rangi na skimming) kinaweza kuzuia maji na unyevu unyevu, muhimu ni kuzuia maji maji kutokufika kabisa au yakifika yasikae ukutani au kuleta ubichi ubichi ukutani. Utadanganywa na waganga njaa wale pesa yako bure mwisho wa siku tatizo linarudi tena.
 
Jamani hii white skim wall putty inazuia unyevu nyevu na chumvi kwenye kuta?

Vipi kama ulishapiga skiming ya kawaida, unaweza ipaka kwa juu?
Skimming hiyo ya kawaida ulitumia material gani ? Maana nje gypsum powder haifai hata siku moja, inayofaa ni hizi wall puty kama white skim, jk wall puty, white cement, cement ya kawaida, nk nk
 
Hii white skim wall putty unachanganya na rangi au maji tuu?
Na mfuko mmoja wa kilo 25 unaweza cover sqm ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…