Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Nawashangaa sana mnavyodai eti Watanganyika wamekataa maandamano na wanawaunga mkono nyie wauaji na mashetani.
Watanganyika kwa umoja wetu tulishatuma ujumbe Oktoba 29. Ujumbe wetu ulikuwa kupinga Uchaguzi haramu ulioendeshwa kwa Mchakato haramu, Ufisadi na kudai Mfumo Mpya wa Uchaguzi, Katiba Mpya na Haki ya kweli ( Kupinga Utekaji, Kuuwawa, Kupotezwa na kufunguliwa Kesi za Uongo Watanganyika wanaotekeleza wajibu wao wa kikatiba wa kutoa maoni)
Kwa kifupi hakuna siku ya muhimu kutuma ujumbe wa kukataa manyanyaso na ukandamizaji kama siku ya Uchaguzi. Kwa tulichofanya Watanganyika siku ile dunia ilipata ujumbe murua kuwa kwa sauti moja Watanganyika tumeshaweka msimamo kuwa hatuwataki Samia, CCM, na utawala wenu wot3 mbovu unaolirudisha nyuma Taifa kila siku.
Kwa namna mlivyojaribu kunyamazisha sauti zetu siku ya ule uchafuzi na siku zilizofuata mlichofanya ni kjwathibitishia dunia kuwa mnatutawala Watanganyika kwa mtutu wa bunduki. Uzuri dunia imepata ushahidi wa kila kitu kilichotokea. na sasa inaenda kuwashughulikia vilivyo huko ICC.
Kujitamba mnakojitamba kwa sifa za uongo kuwa Watanganyika tumekataa maandamano wakati mmeteka watu, mmesambaza vikosi vikiwa na bunduki nchi nzima ili kututisha huu ni upumbavu wa kujilisha uongo wakati ukweli mnaufahamu.
Kwa kuwa ukweli mnaufahamu, napenda kuwahikishia sio nyie tu mnaoufahamu, hadi dunia inafahamu kuwa Watanganyika wamewakataa ndo mana ili kuweza kuwatutawala mmeamua mtuue, mtuteke, mtupoteze na kutubambikia kesi za uongo.
Napenda kuwahikishia tu, Dunia inaenda kuwashughulikia vizuri sana nyie Team Samuya na CCM. ICC inakuja kuwafundisha vizuri maana halisi ya kutuheshimu Watanganyika.