Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Nawashauri mmoja wenu apeleke hoja binafsi Bungeni kutaka mikataba yote ambayo serikali inaingia kwa niaba ya wananchi kuanzia sasa iwe inapita Bungeni.
Pelekeni hii hoja muone kama itapita na kuingia ndani ya Bunge kujadiliwa na Bunge zima alafu ndio tupate fursa ya kujua kama kweli kina fulani wanaumizwa na haya yanayoendelea hapa nchini kupitia mikataba mbalimbali tulioingia.
Asiwadanye mtu.Uzalendo ni wakati wa kusaini mikataba na si baada ya hapo.
Naomba niishie hapa.