Kwenu/Kwako Pana Mti Gani?

Kwenu/Kwako Pana Mti Gani?

Druggist

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Posts
453
Reaction score
558
Huu mti uliota Shambani kwangu, Miaka 6 iliyopita.Mke wangu alikuwa anasimamia Ujenzi akataka Kukata, nikamwambia auache. Mwaka Jana ukatoa Maua mazuri lakini Yana harufu isiyovutia.

Punde Majirani wakawa wanaambiana Kwa Siri kwamba Kwangu Siyo Mahali pa mchezo, Pana ulinzi mkali. Nikachunguza nikagundua Matunda yake yanatumiwa Sana na waganga wa Tiba asili.

Nikagoogle ndiyo kujua Matumizi lukuki ya mti. Mti unaitwa Mwicha Maeneo ya Geita na Kanda ya Ziwa Kwa ujumla.Morogoro wanaita Muyegea. Kwa Kiingereza unaitwa African sausage tree.

Kisayansi unaitwa Kigelia africana.Naendelea kuutunza na kuacha uzidi kukua.West Africa wanautumia kuongeza makalio na matiti kuyafanya yarudi Saa 6!Pia ni anticancer. Kwenu/Kwako Pana Mti Gani?
 
Attachments

  • IMG_20250324_120053.jpg
    IMG_20250324_120053.jpg
    850 KB · Views: 26
  • IMG_20250328_203024.jpg
    IMG_20250328_203024.jpg
    824.8 KB · Views: 27
Huu mti uliota Shambani kwangu, Miaka 6 iliyopita.Mke wangu alikuwa anasimamia Ujenzi akataka Kukata,nikamwambia auache.Mwaka Jana ukatoa Maua mazuri lakini Yana harusi isiyovutia.Punde Majirani wakawa wanaambiana Kwa Siri kwamba Kwangu Siyo Mahali pa mchezo,Pana ulinzi mkali.Nikachunguza nikagundua Matunda yake yanatumiwa Sana na waganga wa Tiba asili.Nikagoogle ndiyo kujua Matumizi lukuki ya mti.Mti unaitwa Mwicha Maeneo ya Geita na Kanda ya Ziwa Kwa ujumla.Morogoro wanaita Muyegea.Kwa Kiingereza unaitwa African sausage tree.Kisayansi unaitwa Kigelia africana.Naendelea kuutunza na kuacha uzidi kukua.West Africa wanautumia kuongeza makalio na matiti kuyafanya yarudi Saa 6!Pia ni anticancer.Kwenu/Kwako Pana Mti Gani?
Kwangu kuna miti sio mtu, Maparachichi,Mlonge,Muembe,Limao,ndimu nk.
 
Huu mti uliota Shambani kwangu, Miaka 6 iliyopita.Mke wangu alikuwa anasimamia Ujenzi akataka Kukata, nikamwambia auache. Mwaka Jana ukatoa Maua mazuri lakini Yana harufu isiyovutia.

Punde Majirani wakawa wanaambiana Kwa Siri kwamba Kwangu Siyo Mahali pa mchezo, Pana ulinzi mkali. Nikachunguza nikagundua Matunda yake yanatumiwa Sana na waganga wa Tiba asili.

Nikagoogle ndiyo kujua Matumizi lukuki ya mti. Mti unaitwa Mwicha Maeneo ya Geita na Kanda ya Ziwa Kwa ujumla.Morogoro wanaita Muyegea. Kwa Kiingereza unaitwa African sausage tree.

Kisayansi unaitwa Kigelia africana.Naendelea kuutunza na kuacha uzidi kukua.West Africa wanautumia kuongeza makalio na matiti kuyafanya yarudi Saa 6!Pia ni anticancer. Kwenu/Kwako Pana Mti Gani?
IMG_2937.jpeg

Hayo matunda yake zaman utotoni tulikuwa tunalengesha bolo kwenye tunda changa, kadili mtunda linavyokuwa ndivyo bolo inakuwa, ukifikia saivi inafaa kutumiwa na mwajuma unaekukata tunda, uspokati bolo litazidi uwezo wa kuhimiliwa na mwajuma.

Any way, hayo matunda yake ni dawa kwani wamasaai huwa wanachemsha inakuwa kama rangi ya coca-cola, wanauza sana mtaani. Sjui hata huwa inatibu nini
 
Huu mti uliota Shambani kwangu, Miaka 6 iliyopita.Mke wangu alikuwa anasimamia Ujenzi akataka Kukata, nikamwambia auache. Mwaka Jana ukatoa Maua mazuri lakini Yana harufu isiyovutia.

Punde Majirani wakawa wanaambiana Kwa Siri kwamba Kwangu Siyo Mahali pa mchezo, Pana ulinzi mkali. Nikachunguza nikagundua Matunda yake yanatumiwa Sana na waganga wa Tiba asili.

Nikagoogle ndiyo kujua Matumizi lukuki ya mti. Mti unaitwa Mwicha Maeneo ya Geita na Kanda ya Ziwa Kwa ujumla.Morogoro wanaita Muyegea. Kwa Kiingereza unaitwa African sausage tree.

Kisayansi unaitwa Kigelia africana.Naendelea kuutunza na kuacha uzidi kukua.West Africa wanautumia kuongeza makalio na matiti kuyafanya yarudi Saa 6!Pia ni anticancer. Kwenu/Kwako Pana Mti Gani?
Huu mti ni hazina, usiukate.....
Unakuza 🍆

mzabzab
 
Nimepanda muarubaini bustani nzima mpaka wadudu na wengineo wamenichukia.
Juzi nilisikia mbu wakiniongelea dirishani na kale kasauti kao eti “Huyu baba kama sio mungu ana rohoo mbaya ya msosi”
 
Back
Top Bottom