Kwenu Halotel

Madame S

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
17,179
Reaction score
34,529
Habari wanajf

Kuna mtu anatumia halotel amewahi kukumbwa na hii kadhia ya msg kufeli japo delivery report inaleta majibu??

HALOTEL VAS nina muda mrefu sasa huu mchezo kwangu umekua mazoea, mtu akinitumia ujumbe mfup wa maneno anasema umenifikia ajabu haujafika me nikituma hivo hivo wakat mwengine nashindwa kujua tatizo nn hasa mana ishakua kero

Huduma kwa wateja siipati kabisa hata kuongea na mhudum wenu mpaka nifunge safar ofisini kwenu muda mwengine inaniwia ugum kutokana na kutingwa na baadhi ya mambo

Naomba kujua kutoka kwenu wana jf kuna mtu anapata shida kama hii au ni mie tu??

Nawasilisha.
 
Hiyo kwa Halotel kawaida yao sana! Natuma sms inafika baada ya Massa 2 mda mwingine zinafel kabisa.mtandao huu sijui umekubwa na nin
 
My dear, yan nilishaona hii ni kero,nilijua kwangu tu, yan mtu anakwambia mbona kimya au sms haijafika we kwako na majibu yamekuja kua ujumbe wako umefika, inakera

We hama tu wamepoeteza mwelekeo hawa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…