Kwenu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Kwenu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Safi sana mkuu kwa ufafanuzi.Ona hizi hapa nyingine;View attachment 1400215View attachment 1400216

Sent using Jamii Forums mobile app
basi kama ni hivo wanakosea sana, uzuri wa karatasi si mchafuzi wa mazingira kwanini baada ya kuzikusanya wasizichome moto!!

kitu kikiwa na muhuli kina unyeti wake af na kahadhi kidogo, inabidi waangalie upya.....

af hii issue ya kufungashia vitafunwa na karatasi iliyojaa wino wala si nzuri kwa afya, better zile zilizo be typed kuliko hizi zenye wino... af barua bado mbichiiii si juzi tuu hapa vijana ndo wamefunga chuo!!

ila hawa Suma JKT wanaona maisha washayapatia sana.... better wale auxiliary police kuliko hawa Suma JKT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom