Amani ya bwana .
Maswali haya yalikuwa yanaumiza sana kichwa watu makini na wanaojali maslahi ya .
1. Kwa nini chadema wasimamishe mgombea urais waliyemtukana wao wenyewe kuwa amefilisi nchi kwa ufisadi?
2. Kwa nini kila anachotamka Mbowe, hata liwe jambo la kipuuzi kabisa lakini wafuasi wake wanafuata?
3. Kwa nini Mbowe alipouza chamá kwa mafisadi, bavicha walimshangilia sana?
4. Kwa nini matumizi ya ruzuku ya chadema hayajulikani lakini bavicha hamna anayehoji?
5. Kwa nini chadema hakina ofisi kwa miaka 25 lakini hamna bavicha anayehoji?
6. Kwa nini bavicha wako tayari kuchagua fisadi, muuza unga, jiwe kuliko binadamu aliye timamu kwa maslahi ya taifa?
7. Kwa nini bavicha wanatetea wachawi, majambazi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya ilimradi tu wameamliwa na Mbowe kushangilia?
8. Kwa nini bavicha wanamtukana mtu kwa ukwepaji kodi, ufisadi lkn mtu huyo huyo akihamia kwao wanamshangilia tena?
9. Kwa nini chadema ni kimbilio la wachafu na waovu wote?
10. Kwa nini bavicha wako tayari kudeki barabara ili fisadi apite?
Jibu ni kwamba mwenyekiti wao alishawajulia kuwa ukiwalisha ngada, proper reasoning inaondoka, kinachobaki ni kushangilia tu!
Mwenyekiti aliamua kufanya biashara ya ngada ili kuwageuza mazezeta wafuasi wake. Limbwata la Dj kwa wafuasi wake ni ngada.
Siri ni kuwalewesha ngada tu, then unabadili gia angani jinsi unavyojisikia huku ukishagiliwa bila kuhojiwa.
Kwa maana nyingine kuondoa madawa ya kulevya ni sawa na kuiua chadema, kwa sababu baada ya madawa kuisha, hangover za bavicha zitaisha, hivyo wataanza kuhoji maamuzi ya mwenyekiti na hivyo kuuwa chama.
Siri ya kwa nini chadema wanatetea madawa ya kulevya ndio hiyo.