Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,706
- 8,686
Wapi?Mkuu una ruhusu matumizi ya camera ??
Tuweke kumbukumbu za elimu vizuri kwa ajili ya umma na vizaziNaona muheshimiwa unauchapa Mwingi mpaka unamwagika
Mhe. Pawekwe sheria mama au baba wa kambo ahudumiwe na watoto aliowalea. Mtoto analelewa akijipata kimaisha anamtafuta mzazi wake na anamtelekeza huyu tunayemwita wa kambo. Na mama au baba wa kambo anabakia kujiinamia na kujutia nguvu na jitihada za kumlea mtoto wa kambo. Mama na baba wa kambo wapewe mamlaka ya kudai matunzo kwa watoto waliowaleaSalaam.
Natambua kabisa wapo Mama na Baba wa Kambo ambao, wana upendo na wamekuwa watu wema kwa watoto wanaowalea wakiwemo yatima. Hakika, wanastahili Pongezi.
Wapo sasa wale Baba na Mama wa Kambo ambao, daaaaah... wamekuwa mwiba kwa watoto wanao walea wakiwemo yatima.
Hapa nimepokea kisa kati ya visa vingi kutoka kijiji kimoja huko mkoani kuwa, mtoto yatima anayelelewa na mama wa kambo alichukua vitu kidogo tu kuchezea kama mtoto tu. Baada ya mama kurudi, mtoto alipigwa sana ikafikia hatua hadi akachomwa kwa moto katika maeneo mbalimbali mwili. Nimeelekeza wafuatiliwe watiwe nguvuni.
Haya, hebu Baba na Mama wa Kambo kokote mliko wale ambao, mnatesa na kunyanyasa watoto mlioaminiwa kuwalea, mtajisikiaje kushtakiwa?
Kwa kifupi, natoa wito kwa jamii eneo hili pia limulikwe vilivyo tafadhali. Mulikaaaaa fichua uovu aina zote.
Wizara ya Maendeleo na Ustawi wa Jamii sasa tunafikika hadi vijijini hata kwa wenye simu za kitochi nao wakiandika ujumbe tunapata mara moja na hatua tunachukua na mtoa taarifa analindwa.
Tuendelee kushirikiana, bado kidogo ukatili utakuwa kwa heri.
Tunasonga mbele na FAHAMU ELIMIKA CHUKUA HATUA [FAECH].
07 JULAI, 2025.
Mbuzi kafia kwa muuza supuSalaam.

Ahsanteni kwa ushirikiano, Mungu awabariki daima⚘👋Sina cha kusema zaidi ya kukupongeza waziri kipenzi cha watanzania. Tokea uhuru hatuajawahi pata waziri ambaye ana engagement ya tofauti na ya kipekee na raia kama wewe.
Niliona maajabu ya utendaji wako siku nilisikia kwa masikio yangu mawili wadada wa kiswahili wakikusifia namna unarespond haraka kwa raia na kuwajali shida zao wanapokutafuta na wanakutaja jina lako.
Nikasema ama kweli uongozi ni dhamani, ukitimiza wajibu wa kiuongozi na kutenda haki kwa raia jina lako litatajwa na mdomo wa kila mpenda haki na utaishi kwenye akili na mioyo ya wazalendo.
Big up sana kwako mheshimiwa waziri wetu na endelea kupiga kazi tupo pamoja na wewe.
Yaani hizi ndo mbegu bora zilizopandikizwa, zikachanua na kuzalisha product pure kabisa alizoziacha hayati JPM 👊🏾Ahsanteni kwa ushirikiano, Mungu awabariki daima⚘👋
Yaani hizi ndo mbegu bora zilizopandikizwa, zikachanua na kuzalisha product pure kabisa alizoziacha hayati JPM 👊🏾Sina cha kusema zaidi ya kukupongeza waziri kipenzi cha watanzania. Tokea uhuru hatuajawahi pata waziri ambaye ana engagement ya tofauti na ya kipekee na raia kama wewe.