kama uko bongo (TZ), Kenya Air Ways (KQ) ndo cheap kama dola mia 750 return, kwani kipindi hiki ni msimu wa watalii.
Kama unatokea UK,France, South Africa au Ital Air Seychelles ndo nafuu.
Kama unatokea bongo. kula mchuma bus had Nairobi then kamata KQ itakuwa kati ya dola 450-500 return.
Kama utataka kukutana na wabongo ama watu wa kukupa kampani ukiwa huko nita kupa informations na contact zao.