Kwenda toilet kwa wanandoa

Kwenda toilet kwa wanandoa

dnmwami

Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
23
Reaction score
4
Wakuu habari
Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kwa timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akienda!) ni kawaida au kuna tatizo apo!
 
Hahahahahaha

Loh

Mnaoneana aibu nyie ni wanandoa wapya?

Mie huwa namwambia tu Asprin saa hizi naenda kun**a

Saa hii kuchururu

Nae pia
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahaaaaaaaaaa JF raha jamani hata kwenda k***a.
 
Tengeneza juice iliyochanganywa karoti, ndizi, nyanya kidogo na matango. Kunyweni mara baada ya chakula. Lazima kwenda haja kubwa, hivyo utakavyojisikia na mwenzako naye lazima ajisikie. Mwambie leo napakua mzigo haswaa tena kiulainiiiii, msikie anasemaje.
 
Utarudia kuanzisha huu uzi mara ngapi!?

Unataka ujue au yeye ajue ili iweje!? Maswali mengine bana!!!! :nono::nono::nono:

Hata mimi hapo mtoa maada kanishangaza kweli,maswali mengine hayana maana kwakweli na pia siyo lazima upost soma tu za wengine mbona ziko nyingi tuu aaaagh!
 
Tengeneza juice iliyochanganywa karoti, ndizi, nyanya kidogo na matango. Kunyweni mara baada ya chakula. Lazima kwenda haja kubwa, hivyo utakavyojisikia na mwenzako naye lazima ajisikie. Mwambie leo napakua mzigo haswaa tena kiulainiiiii, msikie anasemaje.

hahahahahahaaa.... Au anaenda kukata gogo!!!!! Maswali mengine bana!!!!
 
Najuta kufungua hii siredi jamani i wish i could know how old you are
 
Hii imekaa hv hata ugenini kwenda kutakata gogo noma....mara unakata gogo na maji yanakatka ayaaaa
 
kila mmoja anakwenda kwa wakati wake wataka kujua akienda ukamsaidie au ni ajabu kwenda haja kubwa
 
eh!
kwani nayo hiyo ni issue?
ahahahhahahhhhah itabidi niolewe upya asee itakuwa bado nipo single!
kha! King'asti njoo ujibu swali hili
we na Paw nani anaanza?
 
Last edited by a moderator:
kwenda ku..a unataka akuage?
i hate mtu anaetangaza eti sasa naenda.......
we nenda, fanya yako then rudi kimya kimya
ndo maisha yanavyoenda
wala usidhani kama ukimtangazia kuwa ndo unaenda kukata gogo ndo atakupenda zaidi, NO
 
lara 1 aliwahi kusema kama huwezi kubreak the wind mbele yake and lough about it ujue he/she is not the one.
 
Mi huwa sipindishi maneno kwa mwenza huwa namwambia moja kwa moja naenda KUNYA
 
Wakuu habari
Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kwa timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akienda!) ni kawaida au kuna tatizo apo!

Tumechoka kusoma mada za kipuuzi kama hizi. Kama huna cha kuandika tulia kimya. soma michango ya wenzako.
 
hahahahahahaha mkeyamasai..hapo ndo upuuzi utaisha. Nadhani atakuja na uzi mwngne akishangaa
 
Last edited by a moderator:
Ndoa imara zinajengwa na wanandoa wenye akili timamu...sasa hapa kuna haja ya kuuliza kama zinakutosha???????? What the hell is this.
 
Back
Top Bottom