Darkish
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 235
- 189
Baada ya kupotea kwa muda mrefu sasa nimerudi tena mjengoni.
Kwanza heri ya mwaka mpya kwenu wote! Yaani waibo wa naija tunasema 'UMUOFIA KWENU' unaitika 'YAA'
Leo napenda kuzungumzia kuhusu nauli kwenda Same,, nashindwa kuelewa kwa nini unalazima kulipa nauli ya Arusha wakati unaishia hapo Upareni, hivi mamlaka zinazohusika hawalioni hili!
Latra wako wapi au ni poshoposho to, Tarula na jeshi la polisi je, wao hawasafiri!!?
Mnasemaje wanajamii kuhusu hili?