EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,856
- 6,886
Angepakia ya ugwemo mbona yapo Dar-Ugweno... sema tu wapare wa Same wanakachuki na wapare wa miliman uko Ugweno na UsangiWapare watakuwa Wana tatizo basi, ina maana hakuna hata mpare mmoja amechukuwa hiyo route ya Same kutowa huduma ya usafiri?