Kwenda opp maswali 2 ya necta na kwenda opp kuoa au kuolewa, wapi kuna afadhali?

mkulu senkondo

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
1,857
3,561
Bila kuwachosha naomba mnitatulie huu ubishi, kuwa wapi kuna ahueni kwa MTU kukosea maswali mawili ya necta pale form four, au kukosea kuoa/kuolewa.Eti wapi kina afadhali hapo.
 
Wanaume wa mikoani bhana yaani mapenzi yanawatesa mpaka akili ya kufikiria inawapotea.
 
Jamani twende kwenye mada tukianza kugawana wa mikoani na hao wanaojiita wa mjini hatutapata majibu mazuri kwa wanafamilia wa jf.
 
Hizi mada za malofa, yaani mke uoe wenyewe halafu akutese
 
Back
Top Bottom