Kwenda kubeba box uswiss.

afebris

Member
Nov 17, 2015
96
104
Msaada tutani,
Wakuu naombeni utaratibu jinsi ya kufika uswiss nikafanye kazi yoyote kule maana maisha ya hapa dar siridhiki nayo.
Nimeaanda $1500 kwa ajili ya safari hii.
Wazoefu naombeni mnisaidie.
 
$1,500 inatosha nauli na Visa tu, zichange angalau ifike $5,000 mpaka $7,000!
 
Back
Top Bottom