Ilaaniwe ccm!
Jana ilitokea nikawa naangalia kipindi cha TV (TBC1), nadhani kinaitwa Tuambie or Niambie sikumbuki sawa sawa. Kipindi kilikuwa kinahusu sheria hii mpya ya uhalifu wa mitandaoni na studio kulikuwa na wageni watatu (Mwanasheria kutoka Wizara ya Mawasiliano, Mratibu wa mambo ya mtandao kutoka polisi na mgeni mwingine mmoja).
Akatokea mwananchi mmoja akapiga simu akauliza hatua ambazo anatakiwa kuzifuata ikiwa atapata ujumbe wa kuudhi au matusi kwenye simu yake. Akasema kwa mfano wakati wa campaign za uchaguzi wa mwaka huu ikitokea akapata ujumbe wa kuudhi kwamba "Chagua CCM" achukue hatua gani kushughulika na ujumbe huu wa maudhi kwake ?!
Yaani imefikia hata ujumbe wa campaign wa CCM wengine wanachukulia kwamba ni ujumbe wa kuudhi (kama matusi vile)!.
Kweli watu wana hasira na CCM ![/QUO
Mdau umenichekesha sana, kiukweli wakati wa uchaguzi huwa kuna meseji za kukera sana nakumbuka 2010 zilikua zinaingia sana kwenye simu yangu. Pamoja na hayo hata haya makampuni yana sms za kukera pia.
Ilaaniwe ccm!
Jana ilitokea nikawa naangalia kipindi cha TV (TBC1), nadhani kinaitwa Tuambie or Niambie sikumbuki sawa sawa. Kipindi kilikuwa kinahusu sheria hii mpya ya uhalifu wa mitandaoni na studio kulikuwa na wageni watatu (Mwanasheria kutoka Wizara ya Mawasiliano, Mratibu wa mambo ya mtandao kutoka polisi na mgeni mwingine mmoja).
Akatokea mwananchi mmoja akapiga simu akauliza hatua ambazo anatakiwa kuzifuata ikiwa atapata ujumbe wa kuudhi au matusi kwenye simu yake. Akasema kwa mfano wakati wa campaign za uchaguzi wa mwaka huu ikitokea akapata ujumbe wa kuudhi kwamba "Chagua CCM" achukue hatua gani kushughulika na ujumbe huu wa maudhi kwake ?!
Yaani imefikia hata ujumbe wa campaign wa CCM wengine wanachukulia kwamba ni ujumbe wa kuudhi (kama matusi vile)!.
Kweli watu wana hasira na CCM !

Nimetumiwa hii picha nikacheka sana
Hata mimi nalipa hio fainiKuna vijana juzi walipeana adhabu kama mmoja atashindwa kutimiza majukumu waliyowekeana, moja ya adhabu yao ni kuvaa Tshirt na kofia ya CCM kwa siku nzima ama fine ya 100,000/-.
Cha ajabu vijana wengi walikubali kulipa hiyo fine.
Issue sio ubora, issue ni fedha zilizotumiwa kujenga zimetoka wapi?.........Jibu ni Mkopo.......Kama ni mkopo, uliidhinishwa na bunge kama sheria inavyosema?Chama kimoja kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka 50 lazima kitachukiwa hata kama kitajitahidi kutenda mema. Watu wangependa waoine mabadiliko. CCM kinaweza kikajinasibu kwa kujenga barabara nyingi za lami, lakini swali zina ubora kiasi gani. Kabla hatujapongeza juhudi hizo za serikali tujiulize, je barabara hizi zimejengwa kwa pesa zetu au kwa mikopo? Kama kwa sasa deni linakaribia trillion 40 kutoka trillioni 7 wakati serikali ikiingia madarakani hatuna sababu kubwa ya kupongeza. Baba akijenga nyumba nyingi kwa fedha ya kukopa kutoka benki watoto wake hawana sababu ya kushangilia kwani iko siku akishindwa kulipa deni zitapigwa mnada. Huwezi kushangilia kujenga nyumba nyingi za kisasa wakati hati za nyumba hizo hunazo. Nyumba ni hati, kama huna hati nyumba hiyo si ya kwako. Tutafakari.