platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,548 Reaction score 11,517 Sep 12, 2012 #21 Zinaumbua hizi thread...........hebu mods futa hizo contacts huenda mwenyewe hana habari
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Sep 12, 2012 #22 Mtambuzi weeeeee Mtambuziiiiiiiiiiiiiiii Mtambuzi njoo huku wenzio wamekuibia sredi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
L LADY JO Member Joined Sep 5, 2012 Posts 25 Reaction score 8 Sep 13, 2012 #23 Story inahuzunisha sana hii! Nimelia mpaka basi! Daaah!
moto2012 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 2,303 Reaction score 1,530 Sep 13, 2012 #24 Pole sana Mkuu! Pole sana, Mungu akupe Nguvu kuhimili machungu hayo. Humo kwenye reds binafsi sijawahi kusikia wala kuona, wana Jf mnisaidie, naona kama mleta thread ananipoteza vile!
Pole sana Mkuu! Pole sana, Mungu akupe Nguvu kuhimili machungu hayo. Humo kwenye reds binafsi sijawahi kusikia wala kuona, wana Jf mnisaidie, naona kama mleta thread ananipoteza vile!