Kweli wachaga wajanja?!!

Nembo ya chini ingekuwa Mt. Kilimanjaro ingenoga zaidi!
 
wakikutana wenyew kwa wenyewe wanatajana kwa mkibosho, mmarangu, mmachame, muorombo, muuru, nk.
 
Ni kweli wajanja... hasa wanawake wa Rombo walivyoona hakieleweki haaooo... Kenya 'kuhudumiwa'.
 
Hii topic kuna kitu inatafuta hususan kule kwenye jimbo la Mhe. Selasini.
 
Kuna t-shirt zimetoka mpya.Warombo mtalimbo umelala doro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…