Mfarisayomtata JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 474 Reaction score 188 Mar 4, 2012 #1 Mtanzania ukimwambia mkae mjadili umbea na majungu hata kama DUME ZIMA mtakesha, sasa mwambie mjadili mambo ya msingi mfano watoto wa mitaani tuwasaidieje? Utashangaa majibu yake yooote kwenye siasa tu. FUNGUKENI AKILI WAZEE.
Mtanzania ukimwambia mkae mjadili umbea na majungu hata kama DUME ZIMA mtakesha, sasa mwambie mjadili mambo ya msingi mfano watoto wa mitaani tuwasaidieje? Utashangaa majibu yake yooote kwenye siasa tu. FUNGUKENI AKILI WAZEE.