We boya wewe yanapoguswa maisha yao kwa risasi, kutekwa na jela hua unawasaidia nn??Nilikuwa siamini Ile kauli ya Vyama vya Upinzani kulambishwa Asali Ili wakae Kimya,lakini kwa namna mambo yanavyoenda naamini kabisa kuwa Wamelamba...
Upinzani ukifutwa watu kama Lucas mwashambwa kipara kipya FaizaFoxy johnthebaptist Kamanda Asiyechoka Stroke na wengine watafanya kazi gani??Nilikuwa siamini Ile kauli ya Vyama vya Upinzani kulambishwa Asali Ili wakae Kimya,lakini kwa namna mambo yanavyoenda naamini kabisa kuwa Wamelamba...
Wakati hata wakiitisha maandamano ya amani tu wewe hapo hauwezi kujitokeza.Nilikuwa siamini Ile kauli ya Vyama vya Upinzani kulambishwa Asali Ili wakae Kimya,lakini kwa namna mambo yanavyoenda naamini kabisa kuwa Wamelamba...
Tanzania hakuna wapinzani wa kweli kilichopo ni biashara ya kisiasa, unapiga kelele ukirushiwa paja unatulia zako.Nilikuwa siamini Ile kauli ya Vyama vya Upinzani kulambishwa Asali Ili wakae Kimya,lakini kwa namna mambo yanavyoenda naamini kabisa kuwa Wamelamba...
Upinzani ukifutwa watu kama Lucas mwashambwa kipara kipya FaizaFoxy johnthebaptist Kamanda Asiyechoka Stroke na wengine watafanya kazi gani??
Kama Mawazo Yao yamefika kikomo na hawana Msaada tena,ndio maana nikasema bora wasiwepo wabaki CCM pekee tujue hakuna wapinzani kuliko kujifariji wapo Ili hali ni wafuWe boya wewe yanapoguswa maisha yao kwa risasi, kutekwa na jela hua unawasaidia nn??
Niko CCM tangu inaasisiwa 1977Upinzani ukifutwa watu kama Lucas mwashambwa kipara kipya FaizaFoxy johnthebaptist Kamanda Asiyechoka Stroke na wengine watafanya kazi gani??
Kwani saizi tunafanya kazi gani ? Au nani kasema maisha yetu na kula yetu inategemea uwepo wa upinzani huu dhaifu uliojaa wasaka tonge na wenye uchu wa madaraka?Upinzani ukifutwa watu kama Lucas mwashambwa kipara kipya FaizaFoxy johnthebaptist Kamanda Asiyechoka Stroke na wengine watafanya kazi gani??
Hata wewe unaweza kuanzisha Upinzani wa Kweli Tanzania. Sio lazima Kuwakubali/Kuwakejeli waliopo.Tanzania hakuna wapinzani wa kweli kilichopo ni biashara ya kisiasa, unapiga kelele ukirushiwa paja unatumia zako.
Uwepo wao wewe unakuuma nn??Kama Mawazo Yao yamefika kikomo na hawana Msaada tena,ndio maana nikasema bora wasiwepo wabaki CCM pekee tujue hakuna wapinzani kuliko kujifariji wapo Ili hali ni wafu
Kwakweli naungana na WW kwenye hili,Wapinzani wamekuwa DHAIFU SANA kiasi Cha kuwa na shaka ya Kulambishwa Asali Ili wakae Kimya.Kwani saizi tunafanya kazi gani ? Au nani kasema maisha yetu na kula yetu inategemea uwepo wa upinzani huu dhaifu uliojaa wasaka tonge na wenye uchu wa madaraka?
Maslahi yao hao wapinzani yako kwa WanaNchi,kufikiri kutetea maslahi yao pekee bila wanaNchi huo ni ufinyu wa Fikra.Wapinzani wataongelea mambo yenye maslahi yao tu. Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya nk. Hawako kwa ajili ya kuongelea maslahi ya wananchi au ya nchi.
Wewe unajitoaje kwenye hili tenga nawe pia ni mmoja wapo ila mimi sitegemei siasa mkuu niombe radhi hapa nilipo narekebisha majembe ya trecta langu!Upinzani ukifutwa watu kama Lucas mwashambwa kipara kipya FaizaFoxy johnthebaptist Kamanda Asiyechoka Stroke na wengine watafanya kazi gani??
😂😂 anza wewe kwanza kuwa front lineNilikuwa siamini Ile kauli ya Vyama vya Upinzani kulambishwa Asali Ili wakae Kimya, lakini kwa namna mambo yanavyoenda naamini kabisa kuwa Wamelamba.
Haiwezekani Umeme ukatike hovyo hovyo bila sababu za msingi,yaani wanakata kata tu wanavyojisikia.Mwanzoni walikuwa wanasema Maji yamepungua kwenye mabwawa lakini Mwenyezi Mungu anawaumbua Mvua inanyesha hadi mafuriko lakini Bado umeme ni tatizo.
Sasa hivi Wafanyabiashara wa vyombo vya Usafiri wameamua kupandisha bei ya nauli watakavyo,watu wako Kimya tu Ili hali bei ya mafuta kwenye Soko la dunia bado Iko pale pale.
Sasa najiuliza Hivi Vyama vya Upinzani KAZI yao hasa ni IPI? Kama kwenye mambo nyeti kama haya yanayogusa maisha ya mtanzania wa chini kabisa hadi wa juu wako Kimya bila kuwasemea chochote wao Wana umuhimu Gani kwenye hii Nchi?
Ni bora Upinzani ufutwe tu usiwepo tujue Moja kuwa tunapambana n'a mkoloni Mmoja CCM tujue tutamalizana nae VP kuliko kuwapa Ruzuku za bure ilihali hawana wafanyacho.
Yaan Walambe Asali,halafu tena wapewe Ruzuku wanatafuna hukuhuku bila sababu yeyote île Uwajibikaji wao una madhaifu makubwa.
Baada ya Ongezeko hili la Nauli tutarajie mfumuko mkubwa wa bei kwenye Bidhaa mbalimbali Pia kwenye Vyakula mbalimbali sababu ya hili Ongezeko la Nauli.
Yaani pamoja n'a kwamba Maisha magumu lakini Bado Mwananchi wa kawaida anatafutia Njia za kuendelea kumnyonga badala ya kumsadia kujinasua Ktk ukali wa Maisha unaomkabili.Viongozi wetu wameamua kuwa wanyonyaji kama mdudu kupe kwa raia wanao waongoza bila kujali udhaifu wa afya Zao.
Enewei Acha niishie hapa.
Black shwainiUpinzani ukifutwa watu kama Lucas mwashambwa kipara kipya FaizaFoxy johnthebaptist Kamanda Asiyechoka Stroke na wengine watafanya kazi gani??