Hizo Mali za Mrusi atakatisha fweza kupitia hao jamaa.Shituka na mabeberu.Leo muda fulani nilichepuka niende kununua materials ya ujenzi pale Kamaka. Kwa wasiojua, Kamaka ni kampun ya Warusi wanauza vifaa vya ujenzi..Ni duka kubwa
Sasa wakati nimemaliza kila kitu wanapakia mzigo, tukawa tunapiga stori ya yule mtunza stoo pale, yupo mchafu mchafu hivi..Mimi hapo nimetoka kazini niko nadhifu vibaya mno sitaki hata vumbi linirukie..
Sasa badae wakati naondoka nikawa napiga stori na walionibebea mzigo kwenye gari wakawa wanasema hili gari(canter) ni la yule dogo pale. Nikauliza dogo gani wakasema yule storekeeper pale..
Daaah! nduo stori zikaanza hapo kuwa dogo ni darasa la saba tuu na mshahara wake ni milioni 2.8, ana hizo 3 za kubeba mizigo na mambo mengine kibao. Wakawa wanasema Mrusi haajiri wenye elimu kubwa kwenye vitengo hivyo, akasema wapo wengi tu humu darasa la saba
Akanambia unamwona mlinzi yule ana nyumba 3. Nikasema haiwezekan, akasema subiri akamwita akamwambia oya nyumba ya Kivule ushamaliza, akasema ipo kwenye madirisha. Basi poa nataka panga nyumbani kwako kabsa, ile nyumba ya ....,akamwambia,ya ngap sasa hiv hyo kiutan,akasema mungu ni mwema ya 3.
Nkasema ama kweli....
Uzi tayar
Sent using Jamii Forums mobile app
WaziiiIko hivi..pesa inahitaji nidhamu,ndio maana ni rahisi kukuta "mafala" wamefanikiwa,kwanza hawana show off za kijinga na kula bata! Tukija upande wa pili ni kinyume chake!
Kamaka wanapatikana wapi?Leo muda fulani nilichepuka niende kununua materials ya ujenzi pale Kamaka. Kwa wasiojua, Kamaka ni kampun ya Warusi wanauza vifaa vya ujenzi..Ni duka kubwa
Sasa wakati nimemaliza kila kitu wanapakia mzigo, tukawa tunapiga stori ya yule mtunza stoo pale, yupo mchafu mchafu hivi..Mimi hapo nimetoka kazini niko nadhifu vibaya mno sitaki hata vumbi linirukie..
Sasa badae wakati naondoka nikawa napiga stori na walionibebea mzigo kwenye gari wakawa wanasema hili gari(canter) ni la yule dogo pale. Nikauliza dogo gani wakasema yule storekeeper pale..
Daaah! nduo stori zikaanza hapo kuwa dogo ni darasa la saba tuu na mshahara wake ni milioni 2.8, ana hizo 3 za kubeba mizigo na mambo mengine kibao. Wakawa wanasema Mrusi haajiri wenye elimu kubwa kwenye vitengo hivyo, akasema wapo wengi tu humu darasa la saba
Akanambia unamwona mlinzi yule ana nyumba 3. Nikasema haiwezekan, akasema subiri akamwita akamwambia oya nyumba ya Kivule ushamaliza, akasema ipo kwenye madirisha. Basi poa nataka panga nyumbani kwako kabsa, ile nyumba ya ....,akamwambia,ya ngap sasa hiv hyo kiutan,akasema mungu ni mwema ya 3.
Nkasema ama kweli....
Uzi tayar
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Nje ya mada kidogo: Bundle la mabati ya Msouth yanauzwaje hapo Kamaka ??Leo muda fulani nilichepuka niende kununua materials ya ujenzi pale Kamaka. Kwa wasiojua, Kamaka ni kampun ya Warusi wanauza vifaa vya ujenzi..Ni duka kubwa
Sasa wakati nimemaliza kila kitu wanapakia mzigo, tukawa tunapiga stori ya yule mtunza stoo pale, yupo mchafu mchafu hivi..Mimi hapo nimetoka kazini niko nadhifu vibaya mno sitaki hata vumbi linirukie..
Sasa badae wakati naondoka nikawa napiga stori na walionibebea mzigo kwenye gari wakawa wanasema hili gari(canter) ni la yule dogo pale. Nikauliza dogo gani wakasema yule storekeeper pale..
Daaah! nduo stori zikaanza hapo kuwa dogo ni darasa la saba tuu na mshahara wake ni milioni 2.8, ana hizo 3 za kubeba mizigo na mambo mengine kibao. Wakawa wanasema Mrusi haajiri wenye elimu kubwa kwenye vitengo hivyo, akasema wapo wengi tu humu darasa la saba
Kweli kabisa mkuu umenena vyema!Na kwanini umdharau mtu??? Me nashangaa sana sisi watu tulivyo wa ajabu,utamsikia mtu anasema usimdharau usiye mjua ina maana unayemjua ndio umdharau???maisha tunategemeana sana na hakuna wa muhimu zaidi kuliko mwenzie..USIMDHARAU yeyote chini ya jua hili,.full stop.
Komenti tayari.
Nadhani wana patikana pale kwenye makutano ya airport (Mwl. Nyenyerere International Airport), kama nime kosea naomba kurekebishwa.Kamaka wanapatikana wapi?
Wanauza vifaa vya aina gani vya ujenzi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekoment nilichotaka kusema sina cha kuongezea..Na kwanini umdharau mtu??? Me nashangaa sana sisi watu tulivyo wa ajabu,utamsikia mtu anasema usimdharau usiye mjua ina maana unayemjua ndio umdharau???maisha tunategemeana sana na hakuna wa muhimu zaidi kuliko mwenzie..USIMDHARAU yeyote chini ya jua hili,.full stop.
Komenti tayari.
Hahahah wapotezee tuu mkuu kwani shin'ngapi bhanaa...aahhKweli kabisa mkuu umenena vyema!
Hata humu JF kuna baadhi ya member kujiona wao ndo kila kitu na wengine ni mafala tu mbele yao! Lakini hakika nawaambieni nje ya JF mambo ni tofauti kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
πππUmekoment nilichotaka kusema sina cha kuongezea..
Wapo Karibu na relini barabara ya Nelson Mandela. Nadhani wanatazamana na ofisi za Mwananchi..Nadhani wana patikana pale kwenye makutano ya airport (Mwl. Nyenyerere International Airport), kama nime kosea naomba kurekebishwa.
Kabisa Mkuu! Unakijua alichovaa mtu ila anawaza nn hujuNa kwanini umdharau mtu??? Me nashangaa sana sisi watu tulivyo wa ajabu,utamsikia mtu anasema usimdharau usiye mjua ina maana unayemjua ndio umdharau???maisha tunategemeana sana na hakuna wa muhimu zaidi kuliko mwenzie..USIMDHARAU yeyote chini ya jua hili,.full stop.
Komenti tayari.