Kweli unaweza kupata Mpenzi mtandaoni!?

Kweli unaweza kupata Mpenzi mtandaoni!?

mimi nilipata bint kutoka marekani,aliyaangaza sana maisha yangu,wakat huo kabla sijaja mombasa nilikuwa school pale midland kimara. bahat mbaya akafariki kwa ajali sitamsahau furaha ya milele iwe nae "lara "
 
MAREKANI? ulimpata kupitia mtandao upi aisee
 
Kiukweli mm nilipataga instargram wawili na mmoja fb nikala nikasepaaa mpk Leo cjui wapogo wapii
 
Back
Top Bottom