jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Online dating: Hivi hizi online dating huwa zinamafanikio kweli kwani nimekua nikihusisha na dating kwa njia ya mitandao kama afrointroduction.com,fillipinocuspid.com ila hasa hii ya fillipinocuspid.com humu ampapo kuna wadada wa kifilipino.
Sasa nilikua nataka kujua kama kuna mdau ashawahi kupata mke au mchumba kupitia hizi online dating,ili nisije nikawa napoteza muda tu bure.
Ushauri wakuu
Sasa nilikua nataka kujua kama kuna mdau ashawahi kupata mke au mchumba kupitia hizi online dating,ili nisije nikawa napoteza muda tu bure.
Ushauri wakuu