Kweli Udakitari na Ualimu ni Wito? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli Udakitari na Ualimu ni Wito?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Codon, Feb 15, 2012.

 1. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inasikitisha kusema Udaktari,Ualimu ni WITO!Hali kazi za benk,TRA nanyinginezo nizakupata kipato.Ualimu na Udakitari nikazi za Utu zenyekuhitaji uangalizi mkubwa nawamakini katika kuzitenda.Kauli ya Wito inakatisha tamaa mno katika utendaji tuwe makini.......
   
 2. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ...Kazi yeyote yenye ujira, tena wenye mapatano [contract] si ya WITO!
   
 3. THE STORM

  THE STORM Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 15
  Habari ya jioni kaka!Mimi nakubariana kuna kazi ambazo kwa kweli unaweza kuziita ni wito kwa mantiki ya kitendaji;kwa mfano kuwa padre mathalani,ni lazima uwe umelizika na nafsi yako kuwa utaweza kuishi kitakatifu au bila kushiriki tendo la ndoa au kujitolea.Lakini haimaanishi mapadre hawaitaji maisha bora kwa mantiki ya makazi na vitu kama hivyo.Ualimu;jaribu kuchukua mda wako siku moja uanze kumfundisha kijana wako new topic,any uone kama hujampiga makofi kwa hasira!Udactari;nenda ward ya upasuaji ukutane na infected wound kama hujaomba kukimbia,au kaangalie postmortem ya mtu aliyeuwawa kikatili kama hautakuwa ktk depressed mood kwa wiki nzima!Hii ina maana gani basi,ili uwe katika fani hii inabidi uwe na innerdrive ambayo mimi ningeita ni WITO!Ziko kazi nyigine pia ungeweza sema hivyo pia.
  UPOTOSHWAJI:KWA kuwa ni wito hawaitaji kulipwa vizuri,hawaitaji kusomesha watoto wao,hawaitaji mazingira mazuri ya kazi,hawaitaji kufuraia maisha na vitu kama hivyo.Hii haisemwi wazi lakini kwa yanayotendeka ninalazimika kufikili hivyo.
  PENDEKEZO;HIZI KAZI AMBAZO ZINAITAJI SRTONG INNERDRIVE AND MIND SHULD BE GIVEN EVEN SRONGER MOTIVATION kama nyumba nzuri,mazingira mazuri ya kazi na mengineyo ili angalau kuwapunguzia machungu wanayopata ktk utekelezaji wa kazi zao.kichekesho ni kwamba eti ndio kazi ambazo pamoja na ukweli kwamba hata kama tutatoa mazingira mazuri,bado kazi hizi ni ngumu proffessional wise,sisi tumewaongezea na kila gumu raia anaweza kupata kwa uduni wa kipato na mazingira mabaya ya kuishi.
  nawakilisha.
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kazi za siasa tu ndio kazi za wito (Ubunge), zilizobakia zote wanatakiwa kulipwa vizuri.
   
 5. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Maisha ya walim magum kinoma mkuu dah!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kazi ni kazi muraaaa,kazi zote ni wito!!
   
 7. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni wito naomba wana jf mnijulishe wameitwa na nani?
   
 8. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapa umenena!Hapo uliposema unaita wito Nashauri uite kazi za UTU mkuu.
   
Loading...