Mpiganaji tz
Member
- Jul 22, 2010
- 21
- 0
wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine!
msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema:
'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume imemrejesha. Sasa tumeamua kumkataa kwa njia tunayoijua sisi, cha msingi nec ianze maandalizi ya uchaguzi mdogo jimboni hapa. Kama wanadhani tunatania subirini mtaona'
swali: Hawa jamaa wanataka kufanya nini?
Namimi naweza kwenda kusaidia kwani nikwetu kabisaa rritaoncha joto ya chiwe!!!:A S angry:wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine!
msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema:
'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume imemrejesha. Sasa tumeamua kumkataa kwa njia tunayoijua sisi, cha msingi nec ianze maandalizi ya uchaguzi mdogo jimboni hapa. Kama wanadhani tunatania subirini mtaona'
swali: Hawa jamaa wanataka kufanya nini?
wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine!
msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema:
'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume imemrejesha. Sasa tumeamua kumkataa kwa njia tunayoijua sisi, cha msingi nec ianze maandalizi ya uchaguzi mdogo jimboni hapa. Kama wanadhani tunatania subirini mtaona'
swali: Hawa jamaa wanataka kufanya nini?
ccm itasbbsha maafa nchi hii ktokana na ubishi wao na kulazmisha mambo.