Kweli TanZania Tuna Demokrasia Kubwa!

Kweli TanZania Tuna Demokrasia Kubwa!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Uchaguzi umefanyika na fisadi Lowasa hajaguswa wala kupigwa mbata na Polisi kama wanavyofanyiwa Upinzani nchi nyingine, amefanya kampeni kwa amani kabisa bila ya bughudha na akapigwa vizuri na WatanZania na siyo polisi!
 
Na wasiwasi unasinzia sasa ndo umeandika nini una elimu gani maana mwandiko kama std iv
 
First off,
Demokrasia inakomaa haiwi kubwa.
Pili democrasia is multifaceted,
Siyo kipindi cha uchaguzi tu.

Wezi wa kura ndiyo Mafisadi nambari moja, eti demokrasia!!!!??? Demokrasia ya wizi wa kura!!!!???? Rais wa mioyo ya Watanzania, ni Lowassa, na atawapa shida sana bado, ndiyo maana akisema anataka kufanya mkutano Jumapili hii Jangwani, mnahangaika kuzuia aibu!!!!!!!
 
Ikiwa mu wapumbavu kiasi cha kuibiwa miaka yote mkipewa nchi si mtaibiwa yote!
 
Wezi wa kura ndiyo Mafisadi nambari moja, eti demokrasia!!!!??? Demokrasia ya wizi wa kura!!!!???? Rais wa mioyo ya Watanzania, ni Lowassa, na atawapa shida sana bado, ndiyo maana akisema anataka kufanya mkutano Jumapili hii Jangwani, mnahangaika kuzuia aibu!!!!!!!
Lowassa anaficha aibu ya kushindwa uchaguzi kwenye mwanvuli wa kuibiwa kura.

Kabla ya uchaguzi tuliona vikundi vya vijana wa CHADEMA (Red Brigade) wakipewa mafunzo ya ulinzi wa kura.

Kabla ya uchaguzi tuliambiwa na Lowassa hakuna kura hata moja itakayoibiwa. Ni kweli hakuna kura iliyoibiwa.

Mmeanza kuyakana maneno yenu?

mbowe_Red%2BBrigade.jpg
 
Ukweli mchungu!!!
 
I lap u
 
Back
Top Bottom