Kweli Tanzania imeshikwa tu na WCB

Kweli Tanzania imeshikwa tu na WCB

Uyuu jamaaaaa anapaaaaa kishenziii

Ila kuna jamaaaa iviii nilimsikia miaka ya 2013-14 alisema uyuu jamaa atakuwa maarufu zaidi ya nchi yenyewe..

In short alikuwa anasimulia mamboo ya Freemasons nakusema dogoo ana degreee ya 3 za umasonia.

Anyways binafsi nampa bigup japo njia aliyopitia sio sawa.
Mawazo mgando kuamini kila mafanikio ya MTU ni masonia
 
Mimi kaka nilikuwa kama wewe chuoni nimeangalia hizo video za freemason,wachambuzi mia kidogo,mpaka nikajiuliza ,naangalia hivi vitu napata faida gani hamna,nikajiuliza mara ya mwisho kusoma biblia ni lini ,nikaona upuuzi kwa sababu kila aliyefanikiwa freemason,kila style ya freemason,lkn ukisoma story zao unajua kuna sehemu akili ilitumika na jasho liliwatoka mpaka kuja kufanikiwa nikaona upuuzi nimeacha na nimefuta documentary zote za freemason.Ukiendekeza hizi stori za freemason unaweza kukata gogo wima,kisa kuchuchumaa ni style ya freemason wanapotoa sadaka,UPUUUZI mtupu fanya kazi,usitegemee bahati wala uchawi.Kaka hivo vitu vya freemason nilikuwa deep tena zaidi yako ww.
Ila mkuu usisahau kuwa dinii ilii swala limeshaaeleza

In Islam ..

Mtume kamuelezea sanaa na dalilii zakee zoteee...na amekusudia kutupatia tahadhari namna gani yakumuepukaa...

Anyways haya mambo si yakuyazingatia sanaa cha msingi tupambane na hali zetu
 
Huyu jamaaa kuna mtu namuhifadhi jina alimuwezea kinaga ubaga.

Alinipa mifano mingi na inayoendana na ukweli.

Miongoni mwayo nii hii kuwa kila aliemzawadia gari kipindi kile hayupo tena kwenye hii dunia miongoni mwao ni Mzee ngurumo.

Kingine huyu jamaa ataa tembea na wanawake wengi na kila mwanamke alietembea naee hatoo kaaa aoleweee. Na hata dumu kwny mahusiano.

Yaaani mengi mengi mengi mnooo
Lingine lililonishangaza na pengine mi mwenyewe nilikuwa nalifanya nii kuwa nyimbo zingine akiimba utamsikia anataaamkaa "sachaaaaa"

Kumbe bwana pale anamkusudia sir chande kwa maana ndiye aliemfanikishia uanachama wake. Na huyu jamaa ameshakufa.na nimaarufu sana maana alikuwa no mwenyekiti Wa kimasonia Afrika maahariki. Na Kama uki Google utakuta wamepiga picha ya pamoja na platnum.

Hayo niii baadhi tuu mkuu yapo mengi semaa ilii povu ni kutaka kukufahamisha.
We jamaa mshamba sana hiyo Sachaa kwanza umebugi ni ZACHAA prodyuza huyo hahahahaaaahaaa nyie ndo watu wa kuwapeleka kwa kiringo
 
Hata mi nimeshangaa,Zachaaa na Sir Chande hata havifanani.Zachaaa producer wewe,We jamaa haujui kujua.
 
Uyuu jamaaaaa anapaaaaa kishenziii

Ila kuna jamaaaa iviii nilimsikia miaka ya 2013-14 alisema uyuu jamaa atakuwa maarufu zaidi ya nchi yenyewe..

In short alikuwa anasimulia mamboo ya Freemasons nakusema dogoo ana degreee ya 3 za umasonia.

Anyways binafsi nampa bigup japo njia aliyopitia sio sawa.

Wanajuana hao mkuu.
Wimbo wa African beauty ya Mondi ina mengi sana. Na yye anajifafanua wazi kuwa ni Mfuata Shetani. Matumizi ya picha za uchi, tai, beast, rangi nyekundu, style ya uwekaji wa vidole huwa na maana nyingi sna kwa freemasonic.
 
WCB wameshawapumbaza wabongo kweli...Diamond akinya breaking news ..kiato kimekatika breaking news. kifesi kuachishwa kazi breaking news.. kiba kuoa mombasa wamemupotezea... kiba sijuwe kafanya nini hawataki kujuwa ... kila wanachotaka kujuwa nikujuwa ya WCB whyyyyy whyyyyy [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] yooooooooooooh
Ni elimu. Vijana wa Tanzania wana tatizo kubwa la elimu. Kama una uwezo ukiwa na mtoto mdogo utakuwa umefanya jambo la muhimu sana ukimsomesha shule nzuri na hata ikiwezekena nje ya Bongo.
 
Diamond ndiye tanzania n tz ndio diamond.hakuna mtu maarufu tz nzima zaidi ya diamond.hata mtoto mdogo ukitaja mond anaelewa ila kibamia na anko deshi kwenda disko hawafahamiki
Huwa nawaonea huruma sana watoto wanaokulia Tanzania ya sasa. Mazingira yanawafanya wawe na akili za nyumbu. Hebu fikiria mtoto mdogo wa Dar tangu anaanza darasa la kwanza kwenye daladala wakati wa kwenda shule na kurudi analazimishwa kusikiliza hii miziki. Akifika nyumbani nako ni hii muziki huo huo. Akienda dukani nako hayo hayo. Ataacha kweli kulemaa?
 
View attachment 732580

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mwanamuziki wa Bongo flavor Naseeb Abdul-Diamond platinum mara baada ya kuweka jiwe la msingi mfumo wa usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege (Mwalimu Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Aprili 2,2018.

26/04 wote hawa watatafuta pakukimbilia.
 
Mkuu ipo siku utayakubali maneno yangu. Na ukitaka kujua haya nenda njee ya upeo Wa macho yako nakuhakikishia utayaona mengi sanaa tenaa Sana'a.

Ndugu kuna vitu vya siri Sana vinaendelea kwenyee hii dunia.
bab "" unaongea na watu ambao hawawezi kukuelewa kabisaaa"" so tumia busara kunyamaza maana mtaishia kupigizana makelele tu
 
WCB wameshawapumbaza wabongo kweli...Diamond akinya breaking news ..kiato kimekatika breaking news. kifesi kuachishwa kazi breaking news.. kiba kuoa mombasa wamemupotezea... kiba sijuwe kafanya nini hawataki kujuwa ... kila wanachotaka kujuwa nikujuwa ya WCB whyyyyy whyyyyy [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] yooooooooooooh
Amefanya makubwa,hata wewe Fanya makubwa tuta Ku 'appreciate tu",
Diamond,ni mwanamuziki,mfanyabiashara(real estate).
Sasa HV amefungua kituo cha Luninga.
Anapoelekea atakuwa Word figure,amealikwa kutumbuiza kwenye ufunguzi wa kombe la dunia Urusi.
Kama MTU amefanya mambo kama hayo,unategemea nini?lazima dunia imkubari.
Wakati wengine wanatumia muda wao kula shisha,starehe zingine zisizo na tija,Mond anawekeza zaidi.
Ndugu,The sun shines on those who are standing,na anaye pewa lift ni yule ambaye yupo anatembea barabarani,sasa wewe unakaa gheto kwako,muda wote upo Instagram,harafu unataka upewe lift.
Msione wivu,unachopanda ndio unachovuna,Mond aliwekeza vzr,nanyi igeni,
The guy is so humble,ana management nzuri,yupo tayari kujifunza,
Sio "much know" kama vijana wengi,
 
comment of the year
 
Back
Top Bottom