Huyu jamaaa kuna mtu namuhifadhi jina alimuwezea kinaga ubaga.
Alinipa mifano mingi na inayoendana na ukweli.
Miongoni mwayo nii hii kuwa kila aliemzawadia gari kipindi kile hayupo tena kwenye hii dunia miongoni mwao ni Mzee ngurumo.
Kingine huyu jamaa ataa tembea na wanawake wengi na kila mwanamke alietembea naee hatoo kaaa aoleweee. Na hata dumu kwny mahusiano.
Yaaani mengi mengi mengi mnooo
Lingine lililonishangaza na pengine mi mwenyewe nilikuwa nalifanya nii kuwa nyimbo zingine akiimba utamsikia anataaamkaa "sachaaaaa"
Kumbe bwana pale anamkusudia sir chande kwa maana ndiye aliemfanikishia uanachama wake. Na huyu jamaa ameshakufa.na nimaarufu sana maana alikuwa no mwenyekiti Wa kimasonia Afrika maahariki. Na Kama uki Google utakuta wamepiga picha ya pamoja na platnum.
Hayo niii baadhi tuu mkuu yapo mengi semaa ilii povu ni kutaka kukufahamisha.