Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
niote saa saba yote hii ya mchanapicha ipi
au unaota?
mwenzangu naona uzee unaninyemelea haya nishaiweka tayari,have a look ulete feedbackMndengereko mbona hiyo picha siioni sasa......
picha ipo wapi?niote saa saba yote hii ya mchana
Smile KESHAKANUSHA ko feedback ni ulimfananisha tu....mwenzangu naona uzee unaninyemelea haya nishaiweka tayari,have a look ulete feedback
hata sielekei ....kuna mchaga mweusi?
Mndengereko, huyu mtu wako wamefanana nini na Smile?
eti eehh! haya mwaya,inawezekana ulikuwa ni upepo tu
Next time uwe makini kuangalia
huyo ni kama member flani hivi wa JF
Mamndenyi nilidhani migororo haifanani, kila mtu anao wake ambao ni unique?