VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,006
Mimi nimehama jana palepale uwanjani ,nikarudisha kadi yangu ya kijani na njano yenye jembe na nyundo......peopleeeeeeeeeeeeeeeees powerYaliyotokea jana Mwanza yanadhihirisha pasi na kuacha shaka kwamba Dr.Willbrod Slaa(Ph.D),alishinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 kama Rais wa Tanzania.Amempa Mkwere siku tisa kabla ya kupa-Libya hapa petu.Kuanzia sasa Rais wangu Slaa.....naiacha CCM,KWAHERINI WANACHAMA WENZANGU WA CCM.:flock:
Mimi nimehama jana palepale uwanjani ,nikarudisha kadi yangu ya kijani na njano yenye jembe na nyundo......peopleeeeeeeeeeeeeeeees power
Yaliyotokea jana Mwanza yanadhihirisha pasi na kuacha shaka kwamba Dr.Willbrod Slaa(Ph.D),alishinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 kama Rais wa Tanzania.Amempa Mkwere siku tisa kabla ya kupa-Libya hapa petu.Kuanzia sasa Rais wangu Slaa.....naiacha CCM,KWAHERINI WANACHAMA WENZANGU WA CCM.:flock:
Duh kweli wajinga wali wao, ule umati wewe waliofika pale si wapiga kura ungeuliza wangapi waliojiandikisha na kupiga kura ungeshangaa idadi yao ilivyo ndogo, ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi mzee !
Yaliyotokea jana Mwanza yanadhihirisha pasi na kuacha shaka kwamba Dr.Willbrod Slaa(Ph.D),alishinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 kama Rais wa Tanzania.Amempa Mkwere siku tisa kabla ya kupa-Libya hapa petu.Kuanzia sasa Rais wangu Slaa.....naiacha CCM,KWAHERINI WANACHAMA WENZANGU WA CCM.:flock:
dahhhhh Mungu tuepushie matatizo ndan ya Tanzania yetu mhhhhhhhhhh,
zmebak cku 8 tu
think twice, mbona suala la idadi ya wapiga kura lilishawekwa clear? au hutaki kutaka kujua na kukubali?
yaliyotokea jana mwanza yanadhihirisha pasi na kuacha shaka kwamba dr.willbrod slaa(ph.d),alishinda uchaguzi mkuu wa oktoba 31 kama rais wa tanzania.amempa mkwere siku tisa kabla ya kupa-libya hapa petu.kuanzia sasa rais wangu slaa.....naiacha ccm,kwaherini wanachama wenzangu wa ccm.:flock:
Zimebaki sekunde kama 691200, na kadiri zinavyo count down ndivyo hasira inavyozidi kuongezeka
Zitto au Mnyika wakija gombea Urais nitahamia rasmi CHADEMA! Slaa anatia aibu umri wa miaka 65 hana familia bado ana mchumba!
Nijuze sijakuelewa katika sekunde (bold) hizo zina maana gani? au ndo tujiandae kuchukua nchi zikiisha
.....naiacha ccm,kwaherini wanachama wenzangu wa ccm.:flock: