Kweli Simba kiungo cha chini (DM ) wameridhika na kante hawaongezi mchezaji mwingine wa kimataifa?

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
1,177
Reaction score
2,551
Kwa mahesabu yangu zimebaki nafasi mbili za wachezaji wa kigeni mpaka sasa.....moja ni MAEMA ambaye ni kiungo mshambuliaji....nyingine NAHISI ni ya full back namba 3 kureplace valentine noumer,, mpaka hapo tayari idadi ya wachezaji 12 itakuwa imekamilika.

Najiuliza,, Simba SC imekuwa na Changamoto ya mda mrefu wa kiungo ya CHINI,,, wameridhia kubaki na Kante na Kagoma tu kwa msimu huu.

Mashindano ni mengi kuna injury, uchovu nk nk....mnataka kutuambia back up ya hawa watu wawili ni Semfuko na mzamiru ( mzee) kweli???,, ur not serious??

Anyways acha tuone
 
Wachezaji wa kigeni walioachwa simba hadi sasa.

1. Valentine Nouma.
2. Che Malone Fondoh.
3. Fabrice Ngoma.
4. Debora Ferdnandez mavambo.
5. Augustine Okejepha.
6 (Leon Arteba)
 
Kwa mahesabu yangu zimebaki nafasi mbili za wachezaji wa kigeni mpaka sasa.....moja ni MAEMA ambaye ni kiungo mshambuliaji....nyingine NAHISI ni ya full back namba 3 kureplace valentine noumer,, mpaka hapo tayari idadi ya wachezaji 12 itakuwa imekamilika.

Najiuliza,, Simba SC imekuwa na Changamoto ya mda mrefu wa kiungo ya CHINI,,, wameridhia kubaki na Kante na Kagoma tu kwa msimu huu.

Mashindano ni mengi kuna injury, uchovu nk nk....mnataka kutuambia back up ya hawa watu wawili ni Semfuko na mzamiru ( mzee) kweli???,, ur not serious??

Anyways acha tuone
Mzamiru kama backup anatosha kabisa. Lakini pia wanasema Rushayne na Hamza pia wanaweza kucheza nafasi hiyo katika mazingira ya emergence. Nadhani beki wa kushoto kule waweke wazawa watupu kama walivyofanya kwa Kapombe.

Uzoefu wangu katika timu hizi unaonyesha, ukichanganya mzawa na mgeni, mara nyingi mmoja wapo hatapewa nafasi kabisa.

Nadhani kwenye CHAN akionekana mchezaji mzuri atanyakuliwa. Sitashangaa mashindano haya yakiwa yanaelekea ukingoni kuona Simba na Yanga wanagombea mchezaji.
 
Inasikitisha kwakweli, ngoja tuone maana utambulisho bado unaendelea
 
Mzamiru kama backup anatosha kabisa. Lakini pia wanasema Rushayne na Hamza pia wanaweza kucheza nafasi hiyo katika mazingira ya emergence. Nadhani beki wa kushoto kule waweke wazawa watupu kama walivyofanya kwa Kapombe.

Uzoefu wangu katika timu hizi unaonyesha, ukichanganya mzawa na mgeni, mara nyingi mmoja wapo hatapewa nafasi kabisa.

Nadhani kwenye CHAN akionekana mchezaji mzuri atanyakuliwa. Sitashangaa mashindano haya yakiwa yanaelekea ukingoni kuona Simba na Yanga wanagombea mchezaji.
Pia hata Kapombe angetakiwa aachwe dirisha hili. Simba ingetumia CHAN kupata beki wa kulia
 
Umebahatika kuwa na jicho la kiufundi
Hebu tia neno kwenye huu usajiri mpya
Simba hadi sasa Imeachana na wachezaji watano wa kigeni (iliyowaaga)

Hadi sasa Imesajili na kuwatangaza
Wachezaji wanne tu wa kigeni.
1.Rushine De Reuck
2. Allasande Maondo Kante.
3. Mohamed Bajaber
4 .Jonathan sowa.

Nasikitika sana kumkosa Shabalala.
Maana atahitajika mchezaji wa Kigeni kuweza kuziba pengo lake.
Khadim Diaw.

Simba inahitaji sana viungo wa maana sana sana sana Katikati ya Uwanja, 6, 8, 10, 11na sio hao akina Bajaber.
 
Kwa mahesabu yangu zimebaki nafasi mbili za wachezaji wa kigeni mpaka sasa.....moja ni MAEMA ambaye ni kiungo mshambuliaji....nyingine NAHISI ni ya full back namba 3 kureplace valentine noumer,, mpaka hapo tayari idadi ya wachezaji 12 itakuwa imekamilika.

Najiuliza,, Simba SC imekuwa na Changamoto ya mda mrefu wa kiungo ya CHINI,,, wameridhia kubaki na Kante na Kagoma tu kwa msimu huu.

Mashindano ni mengi kuna injury, uchovu nk nk....mnataka kutuambia back up ya hawa watu wawili ni Semfuko na mzamiru ( mzee) kweli???,, ur not serious??

Anyways acha tuone
Usiwapangie..
 
Simba hadi sasa Imeachana na wachezaji watano wa kigeni (iliyowaaga)

Hadi sasa Imesajili na kuwatangaza
Wachezaji wanne tu wa kigeni.
1.Rushine De Reuck
2. Allasande Maondo Kante.
3. Mohamed Bajaber
4 .Jonathan sowa.

Nasikitika sana kumkosa Shabalala.
Maana atahitajika mchezaji wa Kigeni kuweza kuziba pengo lake.
Khadim Diaw.

Simba inahitaji sana viungo wa maana sana sana sana Katikati ya Uwanja, 6, 8, 10, 11na sio hao akina Bajaber.
Msimu ulioisha kama utakumbuka vizuri..Simba ilifungwa kwa makosa mengi ya Shabalala na Malone..itoshe tu kusema ameifanyia Simba makubwa lakini wakati ukuta
 
SIMBA ANAHITAJI MNO WACHEZAJI WA KATIKATI YA UWANJA.

TATIZO LAO KUBWA SANA LILIKUWA NO 10 HADI SASA HAWAPO SERIOUS KUTAFUTA NO 10.

Yanga wamemsaini Dombia hii ni kwamba Yanga Bingwa 2025-26.
 
Ukitaka kuelewa hizi timu zinatumika kisiasa na kwa makusudi fulani utaelewa kwenye huu usajil.
Simba hii mpaka saiz haina namba 10 na ndio namba inayotuumiza sana na kutuangusha na viongoz wanalijua hili ila ajabu wanasajil ujinga ujinga tu.
Niseme tu waza yanga ataendelea kubeba ubingwa hadi hawa waliopo madarakan waondoke.
Mambo ya simba na yanga nayatazama sana kisiasa
 
Namba 10 si wanasema Neo Maema ameshasajiliwa kwa mkopo toka Mamelodi na anasubiriwa tu CHAN iishe wamtangaze.

Nafikiri kwenye wasiwasi bado ni kiungo makabaji asili wa kumsaidia Kagoma na beki ya kushoto eneo ambalo wameondoka Zimbwe na Nouma.
 
Simba hadi sasa Imeachana na wachezaji watano wa kigeni (iliyowaaga)

Hadi sasa Imesajili na kuwatangaza
Wachezaji wanne tu wa kigeni.
1.Rushine De Reuck
2. Allasande Maondo Kante.
3. Mohamed Bajaber
4 .Jonathan sowa.

Nasikitika sana kumkosa Shabalala.
Maana atahitajika mchezaji wa Kigeni kuweza kuziba pengo lake.
Khadim Diaw.

Simba inahitaji sana viungo wa maana sana sana sana Katikati ya Uwanja, 6, 8, 10, 11na sio hao akina Bajaber.
Kwani bajaber sio Bora kaka
 
Back
Top Bottom