poleh,kumfukua fukua sana mtu sio vzur,preshaa tu...esp aliyofanya wkt hamjakutana
Nina girlfriend wangu nilikuwa sina imani naye na nilikuwa nina wasiwasi kuwa ananicheat ila sikuwa na uhakika ila siku nilipoijua password yake ya facebook ndipo nilipopata uhakika na mbaya zaidi kumbe alushatoa hadi mimba kabla ya kuwa naye.Kwa sasa nina amani moyoni kwa sababu nimeshamjua kuwa ni chui mwenye ngozi ya kondoo.Majanga sana
Kwani hukumchunguza kabla ya kuanza uhusiano nae? Au ndio zile za umekutana nae Coco Beach ukachukua namba andthe rest is history
siku hizi mnaanza mahusiano ukiona umemchoka unamchunguza ili upate sababu ya kumbwaga.