Knock life JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 2,465 Reaction score 7,763 Jul 24, 2025 #1 Shetani hana rafiki Wale machawa wote waliokuwa wakitangaza maredioni kumbe sio ithibati hazikai vizuri ila hawana vyeti vya form four. Sasa waje mtaani waone mambo yalivyo.
Shetani hana rafiki Wale machawa wote waliokuwa wakitangaza maredioni kumbe sio ithibati hazikai vizuri ila hawana vyeti vya form four. Sasa waje mtaani waone mambo yalivyo.
Jackpiano JF-Expert Member Joined Apr 19, 2025 Posts 557 Reaction score 751 Jul 24, 2025 #2 Acha chuki machawa ao unawasemea wana pesa kibao
M Mcharo son JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 6,101 Reaction score 5,025 Jul 24, 2025 #3 Wanasoma ili walisiti form IV; nilimuona mmoja Zembw.... anaenda tuition na madaftari.
N Noahs Ark JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,148 Reaction score 3,935 Jul 24, 2025 #4 Mcharo son said: Wanasoma ili walisiti form IV; nilimuona mmoja Zembw.... anaenda tuition na madaftari. Click to expand... π Ila binadamuuu...aisee
Mcharo son said: Wanasoma ili walisiti form IV; nilimuona mmoja Zembw.... anaenda tuition na madaftari. Click to expand... π Ila binadamuuu...aisee
P Pakada JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 1,945 Reaction score 2,094 Jul 24, 2025 #5 Mcharo son said: Wanasoma ili walisiti form IV; nilimuona mmoja Zembw.... anaenda tuition na madaftari. Click to expand... Aisee ni jambo jema!
Mcharo son said: Wanasoma ili walisiti form IV; nilimuona mmoja Zembw.... anaenda tuition na madaftari. Click to expand... Aisee ni jambo jema!
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 3,757 Reaction score 11,433 Jul 24, 2025 #6 Mcharo son said: Wanasoma ili walisiti form IV; nilimuona mmoja Zembw.... anaenda tuition na madaftari. Click to expand... ππππππ ,,ujamuona na kitengee uko mkuu..
Mcharo son said: Wanasoma ili walisiti form IV; nilimuona mmoja Zembw.... anaenda tuition na madaftari. Click to expand... ππππππ ,,ujamuona na kitengee uko mkuu..
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 3,757 Reaction score 11,433 Jul 24, 2025 #7 Noahs Ark said: π Ila binadamuuu...aisee Click to expand... ππππππ Binadamu wapo Kwa ajili ya binadamu wenzao mkuuππ
Noahs Ark said: π Ila binadamuuu...aisee Click to expand... ππππππ Binadamu wapo Kwa ajili ya binadamu wenzao mkuuππ
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 36,927 Reaction score 49,424 Jul 24, 2025 #8 Manfried said: Shetani hana rafiki . Wale machawa wote waliokuwa wakitangaza maredioni kumbe sio ithibati hazikai vizuri Ila hawana Vyeti Vya form four . Sasa waje mtaani waone mambo yalivyo . Click to expand... Vyeti na utendaji halisi ni tofauti kabisa, ila taaluma juu ya jambo unalolifanyia kazi sio ya kupuuza.
Manfried said: Shetani hana rafiki . Wale machawa wote waliokuwa wakitangaza maredioni kumbe sio ithibati hazikai vizuri Ila hawana Vyeti Vya form four . Sasa waje mtaani waone mambo yalivyo . Click to expand... Vyeti na utendaji halisi ni tofauti kabisa, ila taaluma juu ya jambo unalolifanyia kazi sio ya kupuuza.
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 6,143 Reaction score 13,925 Jul 24, 2025 #9 Mcharo son said: Wanasoma ili walisiti form IV; nilimuona mmoja Zembw.... anaenda tuition na madaftari. Click to expand... Wapi mchikichini kwa kina hidden au mapambano mwenge?
Mcharo son said: Wanasoma ili walisiti form IV; nilimuona mmoja Zembw.... anaenda tuition na madaftari. Click to expand... Wapi mchikichini kwa kina hidden au mapambano mwenge?
hagau JF-Expert Member Joined Dec 17, 2023 Posts 1,598 Reaction score 5,361 Jul 24, 2025 #10 Hiyo Ithibati ni sawa na hisabati? Maana naona imepukutisha watangazaji darasani