SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
Jana kuna mahali kijiji kidogo cha ruvuma watu wanadai wameunganishiwa maji tokea uhuru hawakuwahi kuwa na maji wanachota kwenye vidimbwi.
Nawamedai tokea wapate uhuru hawakuwa na vitu muhimu kama maji,umeme,hospitali ,
Sasa kama kweli maji yamewafikia na umeme na hospitali , tokea enzi za Mwalimu Nyerere hawana vitu muhimu, kwani walikuwa hadi waende mjini kupata huduma za matobabu na barabara hazipitiki na zimepitika hamuoni huyu mama ameweza ,anajitahidi ??
Simsemi nikamilifu ila kweli kama mwanamke amejitahidi sana hata Magufuli hakufikia hatua ya huyu mama alichofanya yeye alikuwa anaelekea pabaya tu na kujinufaisha mwenyewe na mkoa wake na Chato yake na majirani wake.
Sijaona juhudi yeyote aliyowahi kuifanya nikuongeza tu deni la Taifa nakutunyanyasa kiakili.
Halafu hajatatua hali ya wananchi alikuwa yupo tu . Kama mtu kajitahidi ni huyu mama pekee.
Nakila mtu anakasoro yake . Na hana ukamilifu wowote hadi sasa Magufuli angekuwepo tungekuwa tunachaguliwa nguo zakuvaa alishaanza programu yakufufua viwanda vya ushonaji vya kushona nguo spesho azitakazo valiwa hasa wanawake .
Na aliharibu mfumo wa misaada itokayo njee ,kingine kuwatoa wawekezaji ambao asilimia kubwa walikuwa wanaajiri watanzania maelfu na maelfu na walikosa kazi na maisha kisa uamuzi wake .
Yeye ndio alianza kukata leseni za biashara kuanzia machinga hadi wafanyabiashara wanaojiweza .
Alitesa watu sema nyie aliwadanganya kwa kuwasikiliza wenye shida katika sehemu mbali mbali anapopita . Nakuwaaminisha kuwa kuna watumishi waserikali ambao hawafanyi kazao vizuri eti anawatoa .
Hakuna mwema ila mtu akifanya mema lazima mtu aseme