SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
- Thread starter
- #21
KhaaWapuuzi kama nyie mnatakiwa mpigwe Risasi hadharani, hasara kwa taifa
KhaaWapuuzi kama nyie mnatakiwa mpigwe Risasi hadharani, hasara kwa taifa
Hapana mie sina chama mwayaa nimeona tu niseme kumbe haikustahiliKwahiyo October tunatiki mamaa ???
Atafurahi sana ila mie nimesema tu sijajua kuwa kakopa sana kiasi hichoLuca wa kububujikwa sijamuona siku kadhaa, yupo likizo nini?
Kwani waliopita halikuwa jukumu lao??Out of how many villages? Pia si favor, ni jukumu lake
Ama wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakufurumua.Jana kuna mahali kijiji kidogo cha ruvuma watu wanadai wameunganishiwa maji tokea uhuru hawakuwahi kuwa na maji wanachota kwenye vidimbwi.
Nawamedai tokea wapate uhuru hawakuwa na vitu muhimu kama maji,umeme,hospitali ,
Sasa kama kweli maji yamewafikia na umeme na hospitali , tokea enzi za Mwalimu Nyerere hawana vitu muhimu, kwani walikuwa hadi waende mjini kupata huduma za matobabu na barabara hazipitiki na zimepitika hamuoni huyu mama ameweza ,anajitahidi ??
Simsemi nikamilifu ila kweli kama mwanamke amejitahidi sana hata Magufuli hakufikia hatua ya huyu mama alichofanya yeye alikuwa anaelekea pabaya tu na kujinufaisha mwenyewe na mkoa wake na Chato yake na majirani wake.
Sijaona juhudi yeyote aliyowahi kuifanya nikuongeza tu deni la Taifa nakutunyanyasa kiakili.
Halafu hajatatua hali ya wananchi alikuwa yupo tu . Kama mtu kajitahidi ni huyu mama pekee.
Nakila mtu anakasoro yake . Na hana ukamilifu wowote hadi sasa Magufuli angekuwepo tungekuwa tunachaguliwa nguo zakuvaa alishaanza programu yakufufua viwanda vya ushonaji vya kushona nguo spesho azitakazo valiwa hasa wanawake .
Na aliharibu mfumo wa misaada itokayo njee ,kingine kuwatoa wawekezaji ambao asilimia kubwa walikuwa wanaajiri watanzania maelfu na maelfu na walikosa kazi na maisha kisa uamuzi wake .
Yeye ndio alianza kukata leseni za biashara kuanzia machinga hadi wafanyabiashara wanaojiweza .
Alitesa watu sema nyie aliwadanganya kwa kuwasikiliza wenye shida katika sehemu mbali mbali anapopita . Nakuwaaminisha kuwa kuna watumishi waserikali ambao hawafanyi kazao vizuri eti anawatoa .
Hakuna mwema ila mtu akifanya mema lazima mtu aseme
Kamanda, tafadhali! Bora nipigwe mimi hadharani hiyo risasi badala ya huyu Babe wangu, kwa sababu nimetoka naye mbali. Halafu bado hana taarifa kamili kama nchi imeshauzwa tayari na Wahuni kupitia hayo maji, na pia zile baiskeli za Swala.Wapuuzi kama nyie mnatakiwa mpigwe Risasi hadharani, hasara kwa taifa
Na wewe ni nani kama mie ni mwenda wazimuAma wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakufurumua.
Usimlinganishe magufuli na takataka sawa?
Mtu kama ww uliye panga chumba kimoja mlo wako kwa shida hutaki kuheshimu mawazo mbadala ila wakati huo unataka samia anaye miliki polisi,jeshi,mahakama aheshimu mawazo mbadala .Wapuuzi kama nyie mnatakiwa mpigwe Risasi hadharani, hasara kwa taifa
Huyu mama amefanya mambo mengi ambayo Jpm yalimshinda.Magufuli mlinganishe na Mkapa na Nyerere, hao wengine amewaacha mbali sana.
Chumba kimoja wapi aisee, nakaa kwa shemeji!Mtu kama ww uliye panga chumba kimoja mlo wako kwa shida hutaki kuheshimu mawazo mbadala ila wakati huo unataka samia anaye miliki polisi,jeshi,mahakama aheshimu mawazo mbadala .
Mpige msasa mkuu aelewe mamboKamanda, tafadhali! Bora nipigwe mimi hadharani hiyo risasi badala ya huyu Babe wangu, kwa sababu nimetoka naye mbali. Halafu bado hana taarifa kamili kama nchi imeshauzwa tayari na Wahuni kupitia hayo maji, na pia zile baiskeli za Swala.
Hakuna namna mkuu, mbele ya halaikiKhaa
Acheni tabia ya kutaka wenzenu wafanye mambo ambayo nyinyi mngekuwa kwenye nafasi zao msinge yafanya.Chumba kimoja wapi aisee, nakaa kwa shemeji!
Sijalaumu ila hakuna kituUzi umejaa kumlaumu JPM Mpaka umeacha point yako ya msingi 🗑️
Badili jina la mada na uweke ya kumlaumu JPM
Anielezee nini??Mpige msasa mkuu aelewe mambo
Kumbe ndio maana ila wewe mtoto wa Mzee Laizer haupo Ruvuma upo Arusha kwa sasa uliangalia kwenye Luninga?kijiji kidogo cha ruvuma
Kwamba October umeshatikiAnielezee nini??
Sina ga chamaKwamba October umeshatiki