Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
Kweli kabisaaa,nimeamini.Sala ni kipoozeo cha nafsi, kinatia moyo nguvu kwa kuamini ulichokiomba kinatendeka.
Sala ni tiba ya kisaikolojia.
Amen.
Hakika.Binadamu ni Mwili, Roho na Nafsi.
ROHO ni muhimu kuliko vyote vingine
ROHO ikitoka mtu anakufa
Sala/Maombi pekee ndio inayoponya roho na kukuweka salama na huru.
Okay,i will.God is a theory that helps you overcome the worst of weathers, they told me. But also, go see a doctor.
SawaNenda hospital ukafanyiwe uchunguzi wa kina kijulikane chanzo cha moyo kuwa na mapigo ya juu sana
Kweli kabisa hata anaekuombea mabaya wewe muombee mema tu.Sala inaumuhimu, mungu anaisikia sala ya kila aombaye kwa kudhamiria,kikubwa ni kuwa na subra mana kuna wanaojibiwa haraka na kuna wanaosubiri.
Tusiombeane mabaya hata km mtu amekuudhi,hasa kwa wanandoa.
Ahsante,watatambua tu muda wao wa kutambua ukifika.Hongera natamani watu wengi watambue umuhimu wa sala.
AminaAhsante,watatambua tu muda wao wa kutambua ukifika.
Sala sio kitu kidogokitu kidogo kama hicho unaanzisha uzi kweli upweke ni ugonjwa mbaya.
Kwako ni kidogo but kwangu ni kikubwa sana.kitu kidogo kama hicho unaanzisha uzi kweli upweke ni ugonjwa mbaya.