Kweli Pesa ni Sabuni ya Roho - Hii ni Malindi

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,295
Diaper-Mentality-55.jpg
 
Huyo msichana aliemshika mkono huyo mzee yupo kazini, hiyo ndio kazi yake.

Kazi ni kazi tu mradi mkono unaenda kinywani.

Wengine wanajikaza kisabuni hapa kwenye picha na ndio kazi zao nje ya nchi, sema siri za jandoni huwa hazitolewi. Namezea
 
Duh! babu nouma, kafungia pesa yake yoote chini ya pu*bu! Hadi akivua nepi ndo mjukuu aweze kudokoa vijisenti vya mboga... yaani alibeba pensheni yake yote kwa matanuzii!... ni nomaa!...
 
Back
Top Bottom