Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,038
- 2,190
Sijui atanionaje aisee...anaweza kunidharau mpaka nikajiona chooMwambie ukweli tu. Usijinyime nafsi yako.
Usithubutu kumtamkia au kumtongoza mwanaume yeyote hapa duniani bidada utajutraa..Sijui atanionaje aisee...anaweza kunidharau mpaka nikajiona choo
Witness nitongoze mimi hakika hutojuta!Usithubutu kumtamkia au kumtongoza mwanaume yeyote hapa duniani bidada utajutraa..
Nimeona ndugu jamaa na marafiki kilichowakuta kwa upuuzi huo..ni mwendo wa vilio hadi nawaonea huruma mweeh!
Usithubutuu....
Sio kweliSijui atanionaje aisee...anaweza kunidharau mpaka nikajiona choo
Katika story hua anasema katika vitu ambavyo havimuumizi kuchwa ni wanawake yaan anadai hana muda kabisaHeri lawama kuliko fedheha!
Funguka!! Unaweza kuta nae anashindwa tu kumwambia!
Ila Fanya utafiti kwanza je ana mtu wake?
Akikudharau basi ila umemwambia ukweli wako...Sijui atanionaje aisee...anaweza kunidharau mpaka nikajiona choo
Hatumii kilevi...hapendi kujichanganya yaan kwanza Sijui social network anaweza maliza hata miez 6 hajaingia hata whatsap na smart anayo....Anatumia kilevi chochote..kama ndio..then its easy..kama hatumii..pole!