Kweli nimepatikana siamini

Kweli nimepatikana siamini

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,038
Reaction score
2,189
Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu

Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda sana yaan Sijui nini kimenikuta

Muda mwingi nakuta namfikiria tu....ninamazoea nae kama rafiki so hua tunachart mambo ya maisha tu na kushauriana ....ikipita hata siku hajanitext moyo unaniuma sana yaan mpaka nakosa raha

Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki

Binafsi sitegemei kumwambia nampenda ila ndio nateseka sana nataman hata nisiwe na urafiki nae maana namuonea wivu mpaka anajua....Sijui nifanyeje wapendwa
 
pole sana mie nafanana ni pacha twin frm another mothr DM tuanze mm na ww achana nae mshkj mm ndio replaceble yake exactly na fit.
 
Sasa utasubiria mpaka lini best? Na ukute jamaa hana hata mpango na wala hajafikiria kuwa na mahusiano na wewe sasa si bora ujitose tuu, mimi ningekuwa wewe ningempa black and white why utese nafsi wakati vitu vinawezekana? Mweleze ukweli akikubali poa asipokubali poa tuu kwani kitu gani. Bora ujue ukweli kwamba haiwezekani ufanye mambo mengine kuliko kuendelea kuwaza mtu mzima mwenzio pasipo sababu ya msingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom