Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,452
Ndio hivyo nguvu ya mume umedhihirika baada ya jirani yangu hapa mtaa wa pili alipokuwa anapiga umbea sana kuhusu mke wa jirani, kumbe huyu jirani alikuwa anavumilia sana, kikubwa zaidi huyu mpiga umbea wa mke wa boss alikuwa mlinzi pale kwenye kampuni ya jamaa, kuamkia leo boss kamaliza kazi yake
Chezea mke kweli mke anauma sana
Chezea mke kweli mke anauma sana