tafuta pesa unacholaumu ni nin sasa?
Mama yako ni jinsia gani?
Yani siku hizi tunavyo penda ku generalise mambo....daah
sasa mwanamke atakuwaje mwenzio na wewe ni mwanaume!!!
kajituma kwa nafasi yake kapambana kapata gari lake, wewe umebaki kulalama tu, hakukosea kuachana na wewe kwa mtindo huu!!! mmmh!!!
mbona kama wamuonea wivu!!! vipi na wewe unataka gari?
bora tu tuolewe wote tujue moja, wanaume wenyewe ndio hawa kutwaa kulalamika kwenye mitandao!
Tena ashukuru aliachana na wewe unaonekana ulikuwa unamtia gundu tu.
Mimi nadhani ubadilishe kauli iwe hivi "kweli mwanaume hela"
Maana Wewe ulikuwa unatoa visenti vya mboga ukajiona wa maana mpaka unaongea kwa nyodo kuwa ulikuwa unasaidia familia yao.
Wenzako wamehonga gari sasa na hata mawazo hawana
Usijifananishe na mwanamke hata siku moja.X girl friend wangu niliyekua nae mda woote ananililia shida tukaachana badae baada ya kuona tumeshindwana tabia na kwao nilikua nafahamika sana maana nilikua nawasaidia maana hata uwezo wao ni wa chini sana mi miezi sita tuu tumeachan leo hii anamiliki gari yake aina ya Alteza tena mpyaaa duuuh kweli maisha ya mjini mwanamke usije jipambanisha nae
Usijifananishe na mwanamke hata siku moja.
Yeye ana rsilmali adimu, inayoweza kumpa kiwewe mwanaume hadi akauza kila kitu.
Ila usikate tamaa mkuu!Sure nimeamin mkuu
Kweli mwanamke sio mwenzio hujui hilo ndugu.??
Mtapewa mshahara mmoja lkn mwenzio kila siku nguo mpya na gari/anamiliki..hela ya ziada atoa wapi..??..
Mtafanya mtihani mmoja wote mna HYPO ak.a number za viatu mwsho wa siku we utasup yeye walaaa...ujue nini...
TUMEBARIKIWAA...kuna vitu tunavyo we wa kiume huna...lol
Dunia hii banaaa....
Ni sheeedaaah! Kitu gani hicho? Je ukianagalia ni kizuri kama ua? Au hadi gizani, mi sina hakika!
kwaiyo na ww unataman ungekuwa demu uwe unagegedwa uwe safi kimaisha?