Kweli nimeamini kuna wanawake wagumu

Then ukashtuka kutoka usingizini maana mkojo ulikubana then baada ya hapo ukaamka ukaenda chooni, then ukarudi kulala
 
Tatizo unakuwa serious sana ndo maana...!! Mwanamke anaekupenda huitaji kuchukua Mwezi na kutumia nguvu nyingi kumpata.. Achana nae mkuu

Hawa madogo bana wanapata tabu sana kwa hawa viumbe. We ukishaona mtu yuko tayari kuweka 500k mezani ili apewe mzigo, jua kabisa huyo kwenye upande wa tekniki ni sifuri. Yaani hana anachokijua kwenye hii gemu. Mimi nilishawashauri humu kwamba muda wa kumfuatilia demu maksimam ni WIKI MBILI! Ikizidi hapo kama hujala hata french kiss we achana nae huyo mwanamke atakuja kukusumbua sana na atakuingiza garama kubwa.

Halafu wanawake wako wengi sana mtaani, hiyo 500k unaweza kula madem 10 wakali kuliko huyo, kwanini upoteze muda na mtu asieeleweka??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umekosea sana!
Kuna protocali za kuhonga mkuu, Demu hujamla hata Mara moja kuweka mahela mengi namna hiyo anaeza kuhisi unataka kumuambukiza magonjwa hatari.
Ilitakiwa ujikite kutumia pesa kwenye mazaga zaga tu, .

Sent
 
Wakati wewe ukihangaika na mapesa kumshawishi huyo mrembo,, kuna MWANAUME mwenzio anatafutwa na huyo unayehangaika nae,,,MAPENZI hayatafutwi yanakuja yenyewe..
 
Huyo mbona analika freshi tu ukiamua, tafuta washenga wazee wawili wa kimagumashi.

Badilisha upepo wa mtongozo jifanye ulikuwa unampima tu mpaka kufikia kumpa hela na umeona kweli ana msimamo wa ukweli kwamba unataka awe mke wako wa maisha obvious ukionesha nia ya kumuoa hamna pingamizi lazma ataingia kingi tu. Fanya kujitambulisha na kutuma barua ya posa na kweli fanya hivyo.

Ukishafikia stage umetajiwa mahari sasa unajipanga kulipa mahari peleka hela kidogo au unaweza usipeleke kabisa ila ukapewa go ahead ya kujitafunia mzigo bila kipingamizi. Tafuna mpaka utapoona hamu yako imeisha au chenchi imerudi.

Hii mbinu aliitumia baharia mmoja ni ticha kitaa alikutana na mtoto kigingi namna hio! Akamtatua chupi na kumpiga mkojo kisawasawa japo mwanzo mtoto alijifanya ana msimamo wa Cuf! Kilichofata baharia aliingia mwitu na kutoonekana tena huku akimuacha binti kwenye mfadhaiko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hahaha umenichekesha sana kuna demu alikuwa mgumu balaa tulichofanya ni kutuma mshenga na kutia alfu ishirini katika barua ya posa ...
akajua kweli nina nia kumbe wapi
nilipotosheka nikambwaga

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii mbinu kama baharia huwezi acha kuitumia. Inaokoa muda na nguvu nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…