Kweli ndoa ndoano

Aise kwa kweli pole!!!
Mume wako mwambie matatizo hayatatuliwi kwa ugomvi!!Hao ndio wanaofanya wanaume tuonekane kama wakatili mno!! mi nadhani matatizo yenu yalikuwa yanasolvika but yeye kukimbilia kutumia njia zinazoleta maumivu na kovu ndani ya moyo wako hakutumia busara!!
kama aliona hayaongeleki bora angewaita wadhamini akakupa suspension hata ya wiki 2 tu!!! ila na wewe usimbanie
 

HII HADITHI MI NAKUBALIANA NAYE 100/100 kuwa ni ya ukweli.

TATIZO MAHUSUSI NI KUNYIMWA UNYUMBA! Kwenda picnic ya kazini ndio kulichochea hasira zote hizo japo huyo bwana hakusema.Trigger ikawa jinsi mdada alivyokua anamsemesha kuhusu kuendesha gari kwa kasi.Rudia kusome aliyoandika kuhusu reaction na maneno ya mwanaume - mara unadharau etc. Hapo ana imagine kuwa mdada huenda keshapewa hudum a bora juu ya kiwango chake yeye.So anajiskia inferior/inferiority complex kama kawaida ya men hawataki kuamini kuna mshindani.

Wanaume wengi ndivyo walivyo.Utakuta ana dukuduku lake lakini halitoi kwa kuchelea kuonekana "dhaifu" asiye na sababu za msingi.Ukimpa sababu tu..utakiona cha moto.
 
pole sana katotooo chamsingi zidisha mahaba ya dhati hata kama mcpo sex kwa kumpa michezo mingiming 2 inaweza kumuweka sawa na kumfanyia mavituziiiiiiiii ambayo hata hajawai kufikiria maishan mwake kinacho takiwa kuwa mbunifu DAGAA na uzidishe upendo zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…