Acha uzuzu mkuu,wewe sema Tanzania ni tatizo, SA wana mpaka helicopters za kufukuzia wezi kwenye freeways zake, Botswana, Namibia, Mauritius, wapo Safi mno, umasikini upo bongo na ni umasikini wenye upumbavu ndani yake, kila kituo cha police Botswana kina Divers wenye vifaa vya kisasa vya uokoaji, idara hii ya zimamoto itolewe jeshini na kuwekwa chini ya municipalities