Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Hivi ni lini huyu rais atakuwa mkweli na mpenzi wa Mungu mbona visasi tu?
Hana data full kuongea tu majukwaani na TV hivi mabenki mengine yasiokuwa na wasemaji wa majukwaani wafenyeje kama kiongozi mkuu wa nchi unatamka maneno ya kibaguzi kama yale kule kusini.
Mabenki yana tabia ya kuweka sehemu ya faida kwa jamii sasa kwa maana hiyo hiyo faida wagawane na mashare holders na wafanyakazi?
Mbona mabenki karibia yote yameajili watanzania au ajira anazosema zinatoka wapi? Kwanini unachuki na kuleta mgawanyiko kwa raia wako?
Nilitarajia useme kila benki iko huru kuchangamkia fursa ili ushindani na huduma ziboreshwe ikiwa na benki zitafte namna ya kumshawishi mteja ikiwa na kipunguza riba.
Ukidiktate zoezi hili unawafanya wabweteke wajione wanahaki kuliko wengine sokoni ni kosa.
Wakifunga mabenki ndo faida kwako? Wewe ajira zimekushinda kutoa hata za walimu mabenki 52 yameajili zaidi ya watanzania 30,000/- nyuma ya waajiliwa kuna familia zaidi ya 30,000 wanawategemea. Jitafakari kabla ya kuruhusu ulimi wako kutamka.