View attachment 72159jamaa baada ya kupata ajali ya gari na kupelekea kuhumia kichwa lakini mpaka leo yupo na anaendelea na shuguli zake.
Bado haijakaa vizuri aisee..siyo kuhumia ni kuumia..badala ya H weka U..do you get my point?kubondeka vipi sawa
Ingekuwa bongo hospitali wangempasua mguu badala ya kichwa
Hajapata ajali yaelekea alipata matatizo wakati yupo mchanga, thus why tunashauriwa kuwalinda watoto wakiwa wadogo kwani vichwa vya vunakuwa havijakomaa.kubondeka vipi sawa
Carlos 'Halfy' Rodriguez, who also goes by the name Sosa, lost a large portion of his brain and skull in a crash after flying through his car's windscreen and landing head-first on the road.kwa maelezo haya utakuwa bado tu utaki kuaminiAcha kutudanganya mchana kweupe hivi!
Weka picha ya kubondeka wakati wa ajali tuthibitishe...
Vinginevyo hii ni hali ya ulemavu wa kuzaliwa au DUKA LA PICHA tu...:becky:
Carlos 'Halfy' Rodriguez, who also goes by the name Sosa, lost a large portion of his brain and skull in a crash after flying through his car's windscreen and landing head-first on the road. kwa maelezo hayo bado utaki kuamini nimemkumbuka Tomasohapana ase hii haiwezekani, hiyo picture kama sio editing sijui ni ujanja gani wamefanya lkn sio kweli kabisa
Hajapata ajali yaelekea alipata matatizo wakati yupo mchanga, thus why tunashauriwa kuwalinda watoto wakiwa wadogo kwani vichwa vya vunakuwa havijakomaa.
hapana ase hii haiwezekani, hiyo picture kama sio editing sijui ni ujanja gani wamefanya lkn sio kweli kabisa
Siamini! Maneno tu ni rahisi KUBUMBA tukio; lakini picha ni ngumu kidogo!Carlos 'Halfy' Rodriguez, who also goes by the name Sosa, lost a large portion of his brain and skull in a crash after flying through his car's windscreen and landing head-first on the road.kwa maelezo haya utakuwa bado tu utaki kuamini
View attachment 72166na hii je nayo mtakataa daktari wetu Moi mpo?